Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
-
- #241
Faida yake ni kuokoa eneo.ukichomwa yatazikwa majivu ambayo huchukua kieneo kidogo.mimi natamani nipelekwe sayari ya venus
Usikute tunabishana na watu wenye elimu za class 7 C hapa bila ya kuongeza chochote kwenye bongo zetu kifaida.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Wazungu na dini yao wengi wameamua kuchomwa na hiyo ni kwa sababu sio tu uhaba wa maeneo bali hata bei zinatofautiana
Kuzika ghali sana
Ila ni maamuzi ya mtu ingawa sio kawaida kwa wengine, ni kama wahindi
Unaweza kuniambia ishu ya kisayansi ni ipi na mimi wapi nimeleta mambo ya kiimani?Kwanini ulete mambo ya kiimani kwenye ishu za kisayansi? legeza fuvu upate madini mapya kiupeo.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Hata mimi nisingekubali hayaNa hao ni tofauti na sisi jinsi tunavyoishi kama familia ndugu jamaa initia ukakasi kwenda kumchoma ndugu yako hadi ateketee kama hao.
Soma majibu yangu yote kwenye huu uzi utaelewa nondo nilizoshusha zimejikita kisayansi au la.Unaweza kuniambia ishu ya kisayansi ni ipi na mimi wapi nimeleta mambo ya kiimani?
Hata mimi nisingekubali haya
Ila pia kumbuka duniani kuna mila nyingi na kuna hawa Tibetan wao ardhi yao ni mawe matupu hawana Pa kuzika kwa hiyo huwa wanakata nyama za Ndugu zao na kuwapa ndege aina ya Tai
Sasa fikiria ndugu yako anakatwa katwa na kutupiwa Tai huku ukiangalia
Makamu wa Rais yupo kuleNi limbukeni ambae anaona kufika Marekani ni kila kitu. Na ni mtu ambaye anaishi kwa stress sana ndio maana yupo aggressive kila muda π€£π
Dah, eti soma majibu yangu yoteπππSoma majibu yangu yote kwenye huu uzi utaelewa nondo nilizoshusha zimejikita kisayansi au la.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Soma majibu yangu yote kwenye huu uzi utaelewa nondo nilizoshusha zimejikita kisayansi au la.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Siku ukifa ndo utajua kwanini.Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima.
Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili yetu.
Ina sound kama satanic hivi ? na sijui utaratibu ukoje kwa viongozi wa dini Wakristu na Waislam huwa wanalichukulia vipi pale mmoja wa muumin wao anapochagua utaratibu huu wa kuchomwa au wengi wao wanakuwa ni Atheists. Hii hata tamaduni zetu za kimakabila zinakata kabisa.
Utajisikiaje au utachukuliaje mtoto wako au ndugu yako anapochagua kuwa cremated..?
Makamu wa Rais yupo kule
Aonane naye ili amsaidie chochote kitu.
Siku ukifa ndo utajua kwanini.
Pole sana kwa kuingia kwenye mtumbwi wa vibwengo.Dah, eti soma majibu yangu yoteπππ
Kumbe hata hujui unachoongelea. Ujuaji mwingi.