Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

Big jifunze namna ya kutumia R na L kwenye lugha ya kiswahili.

Hata hivyo bado una utoto mwingi. Watu kama hao siku zingine unafunga madirisha kama husikii vile, unafanya yako unachomoka.
 
For sure hakukuwa na njia nyingine sahihi kumwonyesha who is me kiundani

asinge nielewa lakini kwa hii njia atanielewa vizuri kuanzia kesho
There is no need for that Bro, after he knew then what, wanna get respect? Respect is earned but not that way I'm telling you, that day when he whined and uttered those unrespected word you were supposed to walk away blindly like nothing happened because he was not himself than "KISUNGURA" made him to.

I know you big man but when scene similar like that happen don't open wallet to prove who you are, don't fill holes that aren't yours let them be holes.

Hope I don't bother you 😊
 
Hadithi za walevi ni kama hizo.Ujinga mwingi.
Una laki unajionesha kwa walevi.Wangezichukua na kukufanyia mambo mengine ungemlaumu nani.
Umeacha safari yako uliyopanga kwenda ili kumuonesha mlevi tu kuwa una pesa.
Acha ushamba wewe .Usiingie maeneo ya walevi bila sababu ya msingi na ukikutana nao usibishane nao.Shika njia yako na anza kuingia msikitini.
 
Shukuru sana Mungu kukuepusha na jaziba kuliko hayo mengine yaliyofuatia.

Mtu yeyote anapolewa akili hupungua uwezo wa kufanya kazi.

Kwa hiyo tabia chafu aliyokuonesha, saazingine si yake kwa kujiona yeye yupo juu ya kila mtu.

Ungeiruhusu hasira ikutawale, yawezekana muda huu usingeliweza kuandika hata hii thread kutokana na kibano mbacho ungelikuwa ukikipata aidha kwa kuua au kujeruhi, maana walevi wengi hufa kirahisi sana kutokana na kinga zao za mwili kuwa zipo chini.

Nasema tena ulitumia busara kubwa sana kuizuia hasira yako, pia jiepushe kupitia sehemu za walevi kama wewe mwenyewe hautumii pombe.
 
Mkuu kwani Watanzania wote muda wa kufanya kazi au kuwa ofisini huwa unafanana???kwamba hakuna ambao wao ofisini wanaingia Usiku??
 
Kiukweli nili waza nikafika mbali Sana mkuu
 
Mkuu kwani Watanzania wote muda wa kufanya kazi au kuwa ofisini huwa unafanana???kwamba hakuna ambao wao ofisini wanaingia Usiku??
All is possible lakini Kama unaona umetumia umelewa na umeishiwa kwanini usiende home kujipumzisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…