Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

Sasa mbona wewe ndio umepoteza pambano? Unatumiaje 20k kumkomoa aliyelewa na kugawa zilizobaki? Kakujaza na ukajaa na umenunua.

R vs L
 
Mnafanya export pia? Au ni humu humu Tz
X port Sana Kama Kenya,Congo,south sudani,malawi,na Rwanda mkuu masoko yetu ya ndani ni dar na ,mwanza kidogo

Lakini kwa mwaka huu Zambia Kuna njaa sababu ya mvua kusumbua so tuna tegemea mahindi kutoka Tanga,mbeya,sumba wanga na songwe, kuelekea Zambia

Japo hatuja jua wakenya watakuja na Bei gani lakini Nafikiri Bei za Zambia zitakuwa kubwa zaidi kuliko Kenya na kwingineko

Lakini kwa upande wa mazao ya soya na ulezi yata endelea kupelekwa Rwanda na Moshi Kama kawaida mkuu
 
Shukrani! Kwa ofisi zenu zipo Dsm au mkoani?
 
Ofisi zetu ni hapa tulipo mkuu una ongea mzigo unao utaka unafika hapa unauona ukiukubari una pimiwa una ulipia inakuwa imeisha
1714824701576.jpg
1714824718063.jpg
1714824519262.jpg
1714824502031.jpg

1714824488412.jpg

1714824430033.jpg
IMG_20240504_091610.jpg
IMG_20240504_091617.jpg
 
Hivi kumbe kilema cha kuongea l na r kipo mpk kwny maandishi?
Ila ki ukweli inaboa mno...hasa hera
 
Back
Top Bottom