Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

Sure & thanks for advising let me promise you about what have you told me 🙏🙏
 
Shukrani mkuu
 
Ningekuwa muumini wa huko msikitini hakika nisingekuwa sarama mpaka Sasa mkuu

kwa jinsi ninavyo ifahamu misi mamo ya watu wa Allah
 
Au sio



Welcome
Wengi wanaokebehi waweke kwenye viatu vyako the same moments ungesikia kaua kwa kujichukulia sheria mkononi au tungekuwa tunacomment hapa hapa jukwaani kumpa pole na kusema hasira hasara.

Nawashauri msitukane wakunga na uzazi ungalipo wakuu. Hawa washihiri, na wanga wako kila kona. Mijini. Hii ni vile nchi ya Bongo Hata kama huna Begi la nguo waweza ishi jiji au mji wowote, ukashinda vijiweni kuwakera wenye ratiba na kazi zao.

Mimi nimekutana sana na huu uchuro, lakin nilipojua kudeal nao kwa plans nyingine unakaa mwezi ukienda pale pale kutoa hela unaona kila mtu kimya.

Vyakula vinapanda bei sababu wakulima wako mijini na kwenye majiji wanashinda vijiweni wakichuria wenye kazi na majimukumu yao, either amtafutie kesi apate kula, au akuvuruge upoteze hata cm au ufunguo ama hata akuibie nyota kwa kupandishiana nae. Hao sio wajinga kama unavyowaona. Wako kazini kwa mission maalum. Na hawana cha kupoteza.
 
1. "R" na "L" ni shida sana kwenye hii nchi.
2. "Maziwa mabichi"!!!!! ndio huko usukumani mnamaanisha maziwa fresh?
3. Kumbe zile vocha za kukwangua bado zipo?
Ahsante kwa ufafanuzi, Namba 2 hapo sikuelewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…