Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

Ulitaka jamaa ashike adabu ila hii ilikuwa zaidi ya kumshikisha adabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kitengo chako ni ukibega au
Usiseme kibega sema hivi kwa sauti je! Kitengo chako ni kubeba magunia??

Nami nita kujibu kwamba Sija wai kufanya hiyo kazi

lakini kijana wangummoja hapa ofisini kwangu kwa siku moja

anaweza kuingiza mshahara wa mwalimu wako kupitia hiyo kazi

Kwahiyo usii dharau hiyo kazi mkuu

lakini pia Kama uliuliza kwa Nia ya kuomba hiyo kazi unaweza kusema tu nita kukaribisha
 
Sasa mbona wewe ndio umepoteza pambano? Unatumiaje 20k kumkomoa aliyelewa na kugawa zilizobaki? Kakujaza na ukajaa na umenunua.

R vs L
Usha wai mletea dharau mtu uka pigwa kichapo kitakatifu na huyo mtu na baadae huyo huyo aliye kupiga akakupa ushindi?

Vipi ulijiskiaje ulipo pigwa Kisha ukapewa ushindi na aliye kupiga

na huyo huyo mpaka hospital Kaku lipia yeye ili usife kwa maumivu ya kichapo uliji skiaje?
 
Jamani kosa sio rake rabda amehandika huku huzi akiwa na asira[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…