The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!?
Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena.
Hawa wanaokiri kwamba 2019 hali haikuwa sawa ndio haohao walikuwa wanasifia sana wakati huo ila leo wanasema hali haikuwa sawa kwa namna hiyo ukija utawala mwingine watakosoa na kukiri kuwa hali haikuwa sawa.
Sasa ni kwa nini CCM isijipime ubavu wa nguvu zake kwa kuachana na haya mambo meusi!?
Kukata majina ya wapinzani kwa sababu ambazo wanaCCM wanapitishwa tu. Kumweka msimamizi mkuu wa uchaguzi ambaye naye ni mnufaika.