The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hamna uimara hata chembe,lile mbeleko la chuma ndio uimara wao.Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!...
Mkuu kwenye bold ndio hatare tupu!MWALIMU ALIACHA MAADUI WATATU.
1.Umasikini
2.ujinga.
3.maradhi.
SAIZI WAMEZALIWA
UJINGA NA UPUMBAVU.
UMASIKINI NA ULOFA.
MAGONJWA NA MARADHI.
RUSHWA
UKOSEFU WA AJIRA.
MMONYOKO WA MAADILI.
CCM
MACHAWA. NK.
TAIFA LIMEANGAMIA
Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!?
Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena.
Hawa wanaokiri kwamba 2019 hali haikuwa sawa ndio haohao walikuwa wanasifia sana wakati huo ila leo wanasema hali haikuwa sawa kwa namna hiyo ukija utawala mwingine watakosoa na kukiri kuwa hali haikuwa sawa.
Sasa ni kwa nini CCM isijipime ubavu wa nguvu zake kwa kuachana na haya mambo meusi!?
Kukata majina ya wapinzani kwa sababu ambazo wanaCCM wanapitishwa tu. Kumweka msimamizi mkuu wa uchaguzi ambaye naye ni mnufaika.
CCM haiwezi kushinda kwa haki hata kidogoHizo huwa ni porojo zakujifariji ila ata wao wanajua bila hila na fitina kwa wapinzani wao hawana ushawishi wowote.Ukiondoa mgongo wa vyombo vya dola na serikali hicho chama nisawa na mbwa bila meno ndo maana wanaogopa ushindaji.ukijiamini huwezi kumdhoofisha mpinzani wako kwa hila.
Inawezekana wamepoteza dira kweli lkn kwa nini utumie mipango michafu kushinda uchaguzi!?Ukweli ni kwamba upinzani umepoteza dira na kibaya zaidi hamtaki kurekebisha mlipojikwaa badala yake na nyinyi mnaleta siasa
Inawezekanaje useme mshindani wako hana mbio ila mkianza shindano unamkata mtama!! Alafu unajisifu kwamba una mbio!?Ukweli ni kwamba upinzani umepoteza dira na kibaya zaidi hamtaki kurekebisha mlipojikwaa badala yake na nyinyi mnaleta siasa
Mlisimamisha wagombea wangapi nchi mzima?Inawezekanaje useme mshindani wako hana mbio ila mkianza shindano unamkata mtama!! Alafu unajisifu kwamba una mbio!?
Hao waliosimamishwa wamekatwa kwa sababu ambazo wanaccm wanazo lkn ccm wamepitishwa inahitaji usiwe na aibu kabisa ili kutetea huu uharamiaMlisimamisha wagombea wangapi nchi mzima?
Sidhani kama mmefika hata 10%
Hamuwezi kuwa wapinzani Kwa kelele za mitandaoni wakati wenzenu wapo on the ground
Hata kama kila mechi ni fainali ila aina ya rafu zinazochezwa na ccm zinatia mashaka kama ccm wana nia ya dhati ya kucheza mchezo wa hakiHakuna mechi rahisi,kwa CCM kila mechi ni fainali