Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho?

Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho? Ama mwanamke unakuta eti anamzidi kila kitu mwanamme wake?!

Binafsi kwa maoni yangu ni USHAMBA KUKUBALI KUONGOZWA NA MWANAMKE KWA NAMNA YEYOTE ILE.

Mwanamke lake jiko na kutangulia chini na si vinginevyo.
 
Screenshot_20241106-000354~2.jpg
 
Khaaa sa si inategemea na uwezo sasa kama wanaume ni mafala tukubali waongoze ma mrs wenye hela zao na doctirine zao..khaa maokoto babu
 
Ieleweke, ujinga siyo tusi.

Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho? Ama mwanamke unakuta eti anamzidi kila kitu mwanamme wake?!

Binafsi kwa maoni yangu ni USHAMBA NA UJINGA KUKUBALI KUONGOZWA NA MWANAMKE KWA NAMNA YEYOTE ILE.

Mwanamke lake jiko na kutangulia chini na si vinginevyo.

Marekani wenyewe hawautaki huo ujinga!
Duh...!.
P
 
Hata nchi kuongozwa na mwanamke ni ujuha.

Ndiyo maana Marekani wamemkataa Harris kwa nguvu zao zote.
 
Hata vitabu vya dini, maagano ya mababu yanakataa kabisa hicho kitu,
Ndio maana hata wazazi wanasisitiza ya kwamba ,familia inayoongozwa na mwanamke sio ya kuoa ,ikiongozwa na baba hiyo safi
 
Back
Top Bottom