Hivi inakuwaje familia fulani unakuta mwanamke ndiyo msemaji wa mwisho?

Nyumba inayoongozwa na mwanamke wakati mwanaume yupo, yule baba huitwa bwege. Je, wanaume wa Tanzania ni mabwege?
 
Familia kuongozwa na mwanamke ujue mwanaume ni bwege wa kupindukia,haiwezekani kwenye familia muwe wanaume wawili
 
Ukibanwa Pumbu ndio utaelewa ni Ushamba au Ujanja
 
Dunia yenyewe imekataa kuongozwa na mwanamke. Unadhani 🇺🇸 kutompa Kamala urais ni bahati mbaya, ukikubali kuongozwa na Ke kama Tanzania ilivyofanya you're in big trouble.
 
Kazi ya mwanamke sio tu kupika Tujipe muda wa kusoma hata vitabu vya dini aise...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…