Shetani ni mwanamkeYaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni huyu huyu mmoja ila Mungu wawili?
Hili swali la kufungia mwaka! Umewaza Mbali Sana kweli.Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni huyu huyu mmoja ila Mungu wawili?
Allah ana majina 99, Mungu nae ana majina mengi ila sijui ni mangapi. Jehovah jire, Jehovah NK.Wakristo hawaamini majini kama ilivyo kwa Waislamu, inawezekana pia shetani wa hizi dini mbili ni tofauti
Shetani ni Muislam kivipi wakati alikuwepo kabla ya Muhammad?Shetani ni muislamu mkuu.
Shetani/ ibilisiAllah ana majina 99, Mungu nae ana majina mengi ila sijui ni mangapi. Jehovah jire, Jehovah NK.
Je shetani ana majina mangapi?
Una point usikilizweShetani ni Allah.
Huu ndio ukweli mchungu
Kwa wakristo anaitwaje na kwa waislam anaitwaje?Shetani/ ibilisi
Kwa Waislamu- SheitwaniKwa wakristo anaitwaje na kwa waislam anaitwaje?