Bruno G
Senior Member
- Sep 14, 2026
- 154
- 544
Mtoto mzuri vipiView attachment 3675289
Mjadala ulianzia mitandaoni huu!
Mtoto mzuri vipiView attachment 3675289
Mjadala ulianzia mitandaoni huu!
Hapo shetani atakua ni CcmDini ni kama vyama vya siasa tu
Freshy vipi?Mtoto mzuri vipi
Poa poa mkuuFreshy vipi?
Dini ziko nyingi sana na mashetani wako wengi tuYaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni huyu huyu mmoja ila Mungu wawili?
Dini zilikuwepo nyingi tuKabla ya yesu kuondokq aliachq dini moja tu ambayo ni judah hao wengine ni mafake tu dininza watu tu
Sio kweli wewe umesoma na kuamini ile filamu ya kuigiza soma torati achana na hio agano jipyaDini zilikuwepo nyingi tu
Sema Sheitwani limekaa kimiyeyusho sana😅Kwa Waislamu- Sheitwani
Kwa Wakristo-Shetani.
Aliyekwambia kila Dini ina Mungu wake naniYaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni huyu huyu mmoja ila Mungu wawili?
Ukitunga hadithi yako mwenyewe lolote linawezekana.Yaani kuna dini 2 tofauti ukristo na uislamu hizi dini kulingana na mafundisho /imani au itikadi yake zinaamini Mungu yupo ila kila dini ina Mungu wake.na hapo hapo zinamini kuna shetani je !shetani wa dini fulani ndio huyu huyu wa dini ingine au nayo dini fulani ina shetani wake!au shetani ni huyu huyu mmoja ila Mungu wawili?
Dini uliyoitaja ilikuwa Israel tu, huko China, India, Japan,Iran, Uarabuni,Ulaya, Afrika kulikuwa na diniSio kweli wewe umesoma na kuamini ile filamu ya kuigiza soma torati achana na hio agano jipya