Hivi inakuwaje kila dini na Mungu wake lakini shetani akawa mmoja

Kabla ya yesu kuondokq aliachq dini moja tu ambayo ni judah hao wengine ni mafake tu dininza watu tu
 
Dini ziko nyingi sana na mashetani wako wengi tu
 
MUNGU ni mmoja tu hakuna MUNGU wa waislamu wala MUNGU wa wakristo ni yule yule tu
 
Peponi ya waislamu ; kila mmoja mabikira 72 na mito ya pombe. Peponi ya wakristo; kusifu na kuabudu non stop.

Kama peponi ni tofauti pia shetani hawezi kuwa sawa.
 
Aliyekwambia kila Dini ina Mungu wake nani
 
Ukitunga hadithi yako mwenyewe lolote linawezekana.
 
Sio kweli wewe umesoma na kuamini ile filamu ya kuigiza soma torati achana na hio agano jipya
Dini uliyoitaja ilikuwa Israel tu, huko China, India, Japan,Iran, Uarabuni,Ulaya, Afrika kulikuwa na dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…