Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami..
Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje maana kuna ndege kanasa hivi juzi, mwanzo nilijua ni mnyarwanda kwa namna anavyoonekana kumbe ni mchaga inawezekana mimi nina energy ya uchaga japo sio wa kabila hilo?