Hivi inakuwaje kila nikivutiwa na mwanamke nikimtongoza basi lazima awe mchaga

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami..

Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje maana kuna ndege kanasa hivi juzi, mwanzo nilijua ni mnyarwanda kwa namna anavyoonekana kumbe ni mchaga inawezekana mimi nina energy ya uchaga japo sio wa kabila hilo?
 
Zamani mimi ilkuwa wachaga..
Sasa hv nina janga la wapare
 
Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami..

Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje maana kuna ndege kanasa hivi juzi, mwanzo nilijua ni mnyarwanda kwa namna anavyoonekana kumbe ni mchaga inawezekana mimi nina energy ya uchaga japo sio wa kabila hilo?
Itakuwa unapenda Komwe.

No reform no election
 
Ukishakuwa mtu mzima acha uhuni.
 
Unawapenda wenye sura nzuri na karangi ila hawana Makalio, ndio sababu
 
Wamanyara na Singida ndio nabumiana nao mtaani. Tatizo sina hela ya kuwahonga, naishia kula tu kwa macho.
 
Back
Top Bottom