Kabla ya kumtongoza ni MnyarwandaUkimtongoza ndo anakuwa mchaga Ila kabla hujamtongoza anakuwa kabila gani?
Zamani mimi ilkuwa wachaga..Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami..
Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje maana kuna ndege kanasa hivi juzi, mwanzo nilijua ni mnyarwanda kwa namna anavyoonekana kumbe ni mchaga inawezekana mimi nina energy ya uchaga japo sio wa kabila hilo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla ya kumtongoza ni Mnyarwanda
Itakuwa unapenda Komwe.Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami..
Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje maana kuna ndege kanasa hivi juzi, mwanzo nilijua ni mnyarwanda kwa namna anavyoonekana kumbe ni mchaga inawezekana mimi nina energy ya uchaga japo sio wa kabila hilo?
Ukishakuwa mtu mzima acha uhuni.Mimi sio mchaga lakini toka nabalehe mpaka kufikia utuuzima huu list ya mabinti na wanawake niliodate nao wachaga wanaongoza kwenye list nawaza sometimes inawezeka ni energy ya kichaga labda inayofanya niwavutie hao nao kuvutiwa nami..
Wazee wa relational experience naomba mniambie hii imekaaje maana kuna ndege kanasa hivi juzi, mwanzo nilijua ni mnyarwanda kwa namna anavyoonekana kumbe ni mchaga inawezekana mimi nina energy ya uchaga japo sio wa kabila hilo?
Wamanyara na Singida ndio nabumiana nao mtaani. Tatizo sina hela ya kuwahonga, naishia kula tu kwa macho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]