makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwahyo na ww unaona ni sawa Financial Manager kukosa kazi kisa hajui mnyama aliyepo kwenye noti ya elfu 10?
Bora akose kazi maana inaonesha kabisa kwa jinsi gani hawako serious na fani yao! Hao ndiyo aina ya wafanyakazi pasua kichwa ma ofisini!!Kwahyo na ww unaona ni sawa Financial Manager kukosa kazi kisa hajui mnyama aliyepo kwenye noti ya elfu 10?
uko sahihi asilimia 100Bora akose kazi maana inaonesha kabisa kwa jinsi gani hawako serious na fani yao! Hao ndiyo aina ya wafanyakazi pasua kichwa ma ofisini!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Na Wapumbavu nao wameshindwa kulijibu swali lao!!Swali la kipumbavu sana.
Acha utani mkuu, siku moja ina masaa 48Hata mgombea Urais mmoja hakufahamu Sadam Hussein alikuwa Rais wa nchi gani.
Aisee imeniuma walikuja wamelamba masuti na mitai shingoni, viatu vinang'aa sikuamini kwao kushindwa kujibu swali dogo kama hilo. Kuna tatizo sio kwenye elimu yetu lakini nadhani wasomi wetu wanakariri tu masomo na hawajui hasa wanasoma nini? Nimepata shock serious .Sijawahi maisha yangu yote kuwa shocked kiasi hiki.
Jina la Wekundu wa msimbazi lilitokana na hapo zamani kulikuwa ni eneo ambalo manyani/baboon walikuwa wakiishi. Wazalamo waliwaita WE-KUNDU wa MSIMBAZI, kutokana na "physiology" ya nyani anapokuwa JOTO/HEAT kwa nyuma/vulva huwa nyekundu hivyo ndiyo maana hata hao jamaa zetu waliamua kuitwa WE-KUNDU kwa vile ofisi zao walijengea JANGWANI. Kwa hiyo yeyote anayeshabikia hajui kama nashabikia MINYANI....yaani WE-KUNDU WA MSIMBAZI. OverIla nae alietunga maswali dah. Okay, ndio Tanzania.
Mimi imebidi nigoogle maana nilidhania Simba (ndio maana jina wekundu wa msimbazi).
View attachment 1719435View attachment 1719436View attachment 1719437
kuwa kupata mfanyakazi bora au ni kuchuja wafanyakazi swali kama hilo haliwezi kukupatia mtu bora ni swalila kipuuzi lisilo na maana yeyote..Consultant aliyetoa hilo swali tulimbeza kuwa haliwezi saidia chuja waomba kazi lakini akasema take from me hilo swali litawabwaga, baada ya mjadala mrefu tukakubali libebe asilimia 70 baada ya ku conconvince. Na kweli consultant ka prove kuwa yuko right, Candidates 75 walioomba hakuna aliyepita kwa swali dogo tu hilo.
Maswali gani ya kijinga hayo mnatunga au ndiyo mbinu ya kupunguza watu? Sasa mtu akijua kwenye noti ya elf 10 kuna Tembo, ndiyo anakuwa kompitenti? Acheni kutunga maswali ya kukomoa.......tungeni maswali performance based questions..........maswali yako mengi tu ya kumpima candidate.......Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.
Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.
Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Waliotunga ni wajinga kuliko waliofanyakazi yenu ili
kuwa kupata mfanyakazi bora au ni kuchuja wafanyakazi swali kama hilo haliwezi kukupatia mtu bora ni swalila kipuuzi lisilo na maana yeyote..
Elimu ya mitano tenaNimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.
Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.
Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
Hivi usomi ni kujua elfu kumi ina mnyama gani?halafu ukishajua elfu kumi ina mnyama gani au ukijua elfu kumi ina kichwa cha jiwe ndio inaongeza tija gani kwenye maendeleo ya nchi?Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.
Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.
Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
DuuhNimechoka, nilienda kusimamia interview watu wa ana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama gani.
Hopeless kabisa wasomi wetu wajiongeze waache kukariri notisi vyuoni kufaulu tu. Hizo bachelor na masters za finance na CPA walipataje? Wana JamiiForums naomba ufafanuzi. Nimechoka leo nimeamini wasomi wetu wengi wako below standard.
Wote wameshindwa kujibu hilo swali na sifa za midigrii yao na CPA zao very sad.
wabongo waliopewa vitengo ni mbumbumbu tu.Hicho si kigezo mtu wangu cha maana sana kwanza unaijua vizuri hiyo course unayotamka? Acha ujinga
konda pamoja na kuzishika mia tano kila siku kuna siku nilimuuliza mia tano ina alama gani kwa nyuma akakosa. Je nichukue hicho ni kigezo hafai kuwa kondakta wa daladala?