Hivi inakuwaje mtu unaendesha gari namba 'A' au 'B'

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu!
PXL_20250205_182946772.jpg

Screenshot_20250205-213500.png

MY TAKE:

Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
 
Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350

View attachment 3226349

Alisikika
 
Wee unashanga A na B . Kunachuma za 1960s bado Zipo road
Wenye uwezo wa vintage wana customize engine kuwa ya kisasa kwa muundo wa zamani na hiyo wanafanya huko USA na Dubai plus UAE wenye uchumi mkubwa maana gharama ya ku customize vintage ni sawa au zaidi ya kuinunua super car...acha magari mabovu mkuu
 
Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350

View attachment 3226349
MY TAKE:

Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
Alisikia mpuuzi mmoja.Kojoa ukalale,boya kabisa usiyejua kitu
 
KUCHOKA KWA GARI, HAKUENDANI NA USAJIRI, BALI NI MATUMIZI YA GARI NA UTUNZAJI.
.TANZSNIA HII KUNA WATU WANAMILIKI MAGARI YA KUTEMBELEA HADI 10, NA HUYU HANA SAFARI SAFARI ZA MIKOANI.
.MTU ANAEMILIKI IDADI HIYO YA MAGARI MENGINE HAYAWEZI KUTUMIKA SANA.
 
Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350

View attachment 3226349
MY TAKE:

Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
Aisee kuna watu ni masikini wa Akili na Experience, sio dhambi lakini inakua ujinga pale unapokuwa masikini wa akili na experience halafu unajifanya unajua.

Nani kakwambia plate number ina uhusiano wa moja kwa moja na uchakavu wa gari?

Pumbafu kabisa. Kwa hio alonunua zero kilometer latest model ya 2010 akapewa namba B na anaekuja kununua gari ya 2009 used ya japan mwaka huu akapewa namba E, wewe unaona wa B ndio chakavu.

Shenzi kabisa, hivi haujui mtu anaweza nunua gari mpya akatumia number plate hata ya A akipenda?
 
Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350

View attachment 3226349
MY TAKE:

Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
Waambieni TRA kodi inatakiwa iwe fixed around 10% of the CIF Value. Hio iwe kwa gari zote halafu uone nani ataendesha hata namba D tu.
 
KUCHOKA KWA GARI, HAKUENDANI NA USAJIRI, BALI NI MATUMIZI YA GARI NA UTUNZAJI.
.TANZSNIA HII KUNA WATU WANAMILIKI MAGARI YA KUTEMBELEA HADI 10, NA HUYU HANA SAFARI SAFARI ZA MIKOANI.
.MTU ANAEMILIKI IDADI HIYO YA MAGARI MENGINE HAYAWEZI KUTUMIKA SANA.
Engines zina life span namba A obvious ni gari ya miaka 30 iliyopita we bado unayo...huoni hatari ya masumu...ndio sababu nchi nyi sana duniani haziruhusu magari makuukuu kutembea road...na magari yao lazima yakidhi viwango vya utoaji gesi.......ndio sababu unaona China anaenda kuwa superpower sababu ya kuzalisha magari salama EVs ambazo ni salama kwa mazingira na afya za watumiaji...tumia gari kimeo at your own risk
 
Aisee kuna watu ni masikini wa Akili na Experience, sio dhambi lakini inakua ujinga pale unapokuwa masikini wa akili na experience halafu unajifanya unajua.

Nani kakwambia plate number ina uhusiano wa moja kwa moja na uchakavu wa gari?

Pumbafu kabisa. Kwa hio alonunua zero kilometer latest model ya 2010 akapewa namba B na anaekuja kununua gari ya 2009 used ya japan akapewa namba E, wewe unaona wa B ndio chakavu.

Shenzi kabisa, hivi haujui mtu anaweza nunua gari mpya akatumia namba plate hata A akipenda?
Mbongo ukimshinda kwa hoja analeta matusi. Sitakujibu. Baki na matusi yako. Wifwa
 
Back
Top Bottom