3-Star General
Member
- Feb 21, 2024
- 60
- 137
Mkuu, hapo hawana tofauti yoyote maana zote tayari ni used from manufacture year (2009) zote zina umri sawa tofauti itakuja kwenye matumizi, matunzo na mazingira kwamba moja imetumika bongo ingine imetumika jp.We nae chizi tu.
Nmesema endapo mwaka 2010 mtu alinunua hilux zero km kutoka toyota akapewa namba B au C (series ilikua hapo), na huuhuu mwaka 2025 mtu mwingine akaja kununua hilux ya 2009 used from japan akapewa E sabab series imefikia hapo. Je gari ya nani ni chakavu zaidi? Tatizo mnatumia matako kufikiri, na vijambio kuongea
Iliyotumika bongo leo itakuwa namba B (2010) na iliyotumika jp leo inaingia na E, japo ya bongo inaweza kuwa bado mbichi kuliko ya jp and vice versa is true…
Nahitimisha kwa kusema namba iwe A au E sio kigezo cha kupima uchakavu wa gari bali matunzo ya gari ni kasumba tu afterall huwezi kukimbizana na namba, zinakimbia kama iPhone😄