Evari77
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 665
- 674
Inawezakana wewe ni mgeni sana kwa Habari xs magari ,mimi nimesha miliki magari kadhaa ngoja nikupe kidogoMnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350
View attachment 3226349
MY TAKE:
Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
Uchakavu wa Gari haupimwi kwa plate number kama number A,B,nk
Uchakuvu wa gari upsnde wa injini unapimwa kwa km ilizotembea
Uchakuvu wa vipuri vingine zinapimwa kwa life span yake
Ubora wa gari unazigatiwa maeneo 3
1- injini
2- body
3- vipuli kama shokapu ,na vingine vidogo vidogo
Baada ya kufanya utafiti mgari ya zamani na mpya nilichogudua tofauti ni technology iliyopo ndani ya gari
Kama kubana matumizi ya mafuta
Umeme kutumika zaidi katika ku control vitu mbalimbali kama kufungua milango ,buti nk
Upade wa body gari nyingi mpya ni soft body
Body zake ni mbovu zaidi ukilinganisha na gari za zamani
Ikiwa mtu kazi zake za shamba ni vizuri atumie gari za zanani
Kila kifaa kwenye gari kinaweza kufanyiwa matengenezo na kuwa bora kuliko jana
Inawezekana wewe gari yako ni ya kulia bata kaxini na mjini unaweza kwenda kigoma na gari yako number E isirudi salama body lote likawa tepetepe bampa zote zimepotea
Magari leo watu ufananisha na wanawake anaweza kuwa 20 age lakini amemshinda bibi yake ya km alizotembeza kitumbua
Tofauti na bibi yake ni body lake bado linaonekane zuri ila injini mbovu