Aisee kuna watu ni masikini wa Akili na Experience, sio dhambi lakini inakua ujinga pale unapokuwa masikini wa akili na experience halafu unajifanya unajua.
Nani kakwambia plate number ina uhusiano wa moja kwa moja na uchakavu wa gari?
Pumbafu kabisa. Kwa hio alonunua zero kilometer latest model ya 2010 akapewa namba B na anaekuja kununua gari ya 2009 used ya japan mwaka huu akapewa namba E, wewe unaona wa B ndio chakavu.
Shenzi kabisa, hivi haujui mtu anaweza nunua gari mpya akatumia number plate hata ya A akipenda?