spare za gari zinapatikana unaweza ukaikarabati kwa kubadilisha spare za zamani na kuweka mpya ,hata engine unaweza ukaweka mpya,..
Mfano unaweza ukanunua gari kwa kuipendea uimara wa bodi yake tu hata kama engine na vifaa vingine vimechakaa ukabadikisha ukaweka spare mpya.
Kuna gari namba D nyingine ukikutana nazo zimechoka kuliko hata namba B.Service ya gari ,ukarabati na utunzaji wa gari ndio hufanya gari kuwa nzima
,BODI YA GARI IKIWA NGUMU KAMA COROLLA NA RAV 4 utakuwa unapaka rangi tu na kubadili spare mbovunkwa kuweka mpya na gari itaendelea kuwa nzima hata kama ni namba A.
BODI YA GARI IKIWA MAYAI/KARATASI/LAINI hata kama ni namba E itawahi kuchakaa kwa muonekano wa nje bodi hata kama engine ni nzima ila muonekano wa bodi utawahi kuchakaa.
Mfano bodi ya RAV 4 old model na bodi ya corolla old model ni ngumu sana ,na zinadumu sana hazichakai upesi.