AlisikikaMnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350
View attachment 3226349
MY TAKE:
Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
Wenye uwezo wa vintage wana customize engine kuwa ya kisasa kwa muundo wa zamani na hiyo wanafanya huko USA na Dubai plus UAE wenye uchumi mkubwa maana gharama ya ku customize vintage ni sawa au zaidi ya kuinunua super car...acha magari mabovu mkuuWee unashanga A na B . Kunachuma za 1960s bado Zipo road
Alisikia mpuuzi mmoja.Kojoa ukalale,boya kabisa usiyejua kituMnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350
View attachment 3226349
MY TAKE:
Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
Aisee kuna watu ni masikini wa Akili na Experience, sio dhambi lakini inakua ujinga pale unapokuwa masikini wa akili na experience halafu unajifanya unajua.Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350
View attachment 3226349
MY TAKE:
Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
Waambieni TRA kodi inatakiwa iwe fixed around 10% of the CIF Value. Hio iwe kwa gari zote halafu uone nani ataendesha hata namba D tu.Mnafahamu kwamba unahatarisha afya yako?! Kwa kuendesha magari mabovu kama haya ya namba A na B na C hata kama unalifanyia matengenezo...unajua unaendesha gari lililoekspaya mamoshi na mainjini yanatoa gesi chafu! View attachment 3226350
View attachment 3226349
MY TAKE:
Uza hiyo gari iuzwe chuma chakavu, acha kuhatarisha usalama wako na familia yako. Wengine wanasafiri nayo umbali mrefu. Too risky.
Engines zina life span namba A obvious ni gari ya miaka 30 iliyopita we bado unayo...huoni hatari ya masumu...ndio sababu nchi nyi sana duniani haziruhusu magari makuukuu kutembea road...na magari yao lazima yakidhi viwango vya utoaji gesi.......ndio sababu unaona China anaenda kuwa superpower sababu ya kuzalisha magari salama EVs ambazo ni salama kwa mazingira na afya za watumiaji...tumia gari kimeo at your own riskKUCHOKA KWA GARI, HAKUENDANI NA USAJIRI, BALI NI MATUMIZI YA GARI NA UTUNZAJI.
.TANZSNIA HII KUNA WATU WANAMILIKI MAGARI YA KUTEMBELEA HADI 10, NA HUYU HANA SAFARI SAFARI ZA MIKOANI.
.MTU ANAEMILIKI IDADI HIYO YA MAGARI MENGINE HAYAWEZI KUTUMIKA SANA.
Mbongo ukimshinda kwa hoja analeta matusi. Sitakujibu. Baki na matusi yako. WifwaAisee kuna watu ni masikini wa Akili na Experience, sio dhambi lakini inakua ujinga pale unapokuwa masikini wa akili na experience halafu unajifanya unajua.
Nani kakwambia plate number ina uhusiano wa moja kwa moja na uchakavu wa gari?
Pumbafu kabisa. Kwa hio alonunua zero kilometer latest model ya 2010 akapewa namba B na anaekuja kununua gari ya 2009 used ya japan akapewa namba E, wewe unaona wa B ndio chakavu.
Shenzi kabisa, hivi haujui mtu anaweza nunua gari mpya akatumia namba plate hata A akipenda?
Nyang'au mmoja ww, empty set kabisa. Akili sijui umeweka matakoni, unaelezewa uhalisia bado unakaza fuvu.Mbongo ukimshinda kwa hoja analeta majibu. Sitakujibu. Baki na matusi yako. Wifwa