Hivi inakuwaje mtu unaendesha gari namba 'A' au 'B'

spare za gari zinapatikana unaweza ukaikarabati kwa kubadilisha spare za zamani na kuweka mpya ,hata engine unaweza ukaweka mpya,..

Mfano unaweza ukanunua gari kwa kuipendea uimara wa bodi yake tu hata kama engine na vifaa vingine vimechakaa ukabadikisha ukaweka spare mpya.

Kuna gari namba D nyingine ukikutana nazo zimechoka kuliko hata namba B.Service ya gari ,ukarabati na utunzaji wa gari ndio hufanya gari kuwa nzima

,BODI YA GARI IKIWA NGUMU KAMA COROLLA NA RAV 4 utakuwa unapaka rangi tu na kubadili spare mbovunkwa kuweka mpya na gari itaendelea kuwa nzima hata kama ni namba A.
BODI YA GARI IKIWA MAYAI/KARATASI/LAINI hata kama ni namba E itawahi kuchakaa kwa muonekano wa nje bodi hata kama engine ni nzima ila muonekano wa bodi utawahi kuchakaa.
Mfano bodi ya RAV 4 old model na bodi ya corolla old model ni ngumu sana ,na zinadumu sana hazichakai upesi.
 
Kuna gari A na B Zina mileage ya 24,000 KM and we'll maintained, Kuna ubaya gani?
 
INAWEZEKANA MIMI NILIJUA HUO MUDA, KWA ENGINE INAYOTUMIKA, YAANI ENGINE YA GARI HII, UMEMTUNZA SANA LABDA MIKA 10, KUMBE HATA KWA GARI ILIYOPAKI INAENDA SAWA,
.
KWAHIYO ZILE GARI PALE KIBAHA IKIENDA UKANUNUA GARI ILIYOUNGWA MIAKA MIWILI NYUMA IMEKULA KWAKO SIYO.
 
Wewe ndo wale maskini akipata.

📌Umedandia daladala robo tatu ya maisha yako umevuta moshi wa DIESEL ambayo haijachomeka vizuri mpaka mapua na mimacho yako imezoea saivi umepata ngekewa ya kamkweche mtumba wa japani unaanza kutema SHIT😬😬😬!!!
 
Nina Nissan ina namba AKB..., ni kama mpya.
Mcheki Kaka Muro Elisante, ana VX ni AK.., mpya kama ya jana.
 
Wenye uwezo wa vintage wana customize engine kuwa ya kisasa kwa muundo wa zamani na hiyo wanafanya huko USA na Dubai plus UAE wenye uchumi mkubwa maana gharama ya ku customize vintage ni sawa au zaidi ya kuinunua super car...acha magari mabovu mkuu
Vintage ukisha toa engine yake ukaweka hizo unazosema Ni za kisasa hapo tayari it's valueless.Only Car enthusiast ndo watanielewa ninachokisema hapa.
 
Mshaanza kutusema kwa ubaya A na B zinashida gani 😂😂😂
 
Sina gari Sina mpango wa gari ila nauliza namba A B C ZINA MAKOSA GANI AU SIFA GANI NA KWANINI ZIWE A B C. WAKATI NI ALAMA NZURI ZA UFAULI DARASANI KWANINI SIO 0 NA F NA E
 
Ukiweka injini Mpya wewe ni mbabe, sio useme injini Mpya kumbe used ya Ilala Mtumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…