Hivi inakuwaje mtu unaendesha gari namba 'A' au 'B'

Mkuu, hapo hawana tofauti yoyote maana zote tayari ni used from manufacture year (2009) zote zina umri sawa tofauti itakuja kwenye matumizi, matunzo na mazingira kwamba moja imetumika bongo ingine imetumika jp.

Iliyotumika bongo leo itakuwa namba B (2010) na iliyotumika jp leo inaingia na E, japo ya bongo inaweza kuwa bado mbichi kuliko ya jp and vice versa is true…

Nahitimisha kwa kusema namba iwe A au E sio kigezo cha kupima uchakavu wa gari bali matunzo ya gari ni kasumba tu afterall huwezi kukimbizana na namba, zinakimbia kama iPhone😄
 
Kwanza hizi namba zinafaa kuwa randomized tu eg. tunapoanza no. FAA mfumo uupload no zote from T 101 FAA - T 999 ZZZ then mtu akisajili gari mfumo unapick any number in between. Zikiisha tuna re-write on namba zote zilizokuwa written off.. yaani mwaka 2060 unaweza kusajili gari ukapata namba T 230 AAT 😄😄imekaaje hii..

Sema hii itawasaidia hata hao wenye VXR 2024 za namba AKU wasijulikane vizuri.
 
Nipo Kazungula mpaka wa Zambia na Botswana wahuni tu Wazambia niliiongoza nao wametoka na vyuma kutoka SA ni hatari hizi gari kwa kodi ya Tanzania inatakiwa ujipange kweli sema Wabongo tunapenda kujitutumua sehemu ambayo hakuna waazambia wanasukuma mashine za ukweli sana kwa sababu Zambia kodi sio kubwa sana kwa hizi gari.
 
Mitsubishi outlander

Fuel: Petrol

Capacity: 2350 cc

Drive: 2WD/4WD/LD options

Colour: Silver

Year:2006

Mileage: 158791 km

Hauhitaji services na ninakupa receipt za service iliyofanyika january mwishoni.

Price 19 million (negotiable)

0714273122/0622563792

Location : Dar es salaam
 

Attachments

  • IMG-20250209-WA0051.jpg
    66.8 KB · Views: 2
  • IMG-20250209-WA0048.jpg
    42.2 KB · Views: 2
  • IMG-20250209-WA0050.jpg
    59.5 KB · Views: 2
  • IMG-20250209-WA0047.jpg
    60.3 KB · Views: 2
  • IMG-20250209-WA0049.jpg
    63.5 KB · Views: 3
  • IMG-20250209-WA0046.jpg
    75.1 KB · Views: 3
  • IMG-20250209-WA0043.jpg
    131.2 KB · Views: 3
  • IMG-20250209-WA0044(1).jpg
    96.7 KB · Views: 3
  • IMG-20250209-WA0045.jpg
    92.9 KB · Views: 3
  • IMG-20250209-WA0044.jpg
    96.7 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…