G
Kwanini niwaache? Kwanini mtu mzima mwenye miaka 50 anasumbuliwa na Mapenzi? Kwamba hajawahi kuona nini kwenye maisha yake?Tuache.....
Tuache bro πKwanini niwaache? Kwanini mtu mzima mwenye miaka 50 anasumbuliwa na Mapenzi? Kwamba hajawahi kuona nini kwenye maisha yake?
HajipendiHivi hii imekaaje? Nini hasa kinachosababisha haya?
Muuza madafu wa chamwino baada ya kuvimbiwa ugimbiHivi hii imekaaje?
Kuna jamaa yangu mmoja ambaye nilileta habari zake humu namna alivyofirisika tokana na kuhangaika na wanawake. Sasa amewehuka na amekuwa kama kijana anayeanza kubalehe kwa kusumbuliwa na wanawake wengi zikiwemo nyumba ndogo?
Hivi inakuwaje mtu mzima unachanganyikiwa na mapenzi namna hiyo?
Kuna kijana mwingine mwenye miaka 30+ namfahamu mmoja tena mwenye maisha mazuri tu na mwenye mke na watoto anataka kujiua kisa mchepuko? Ukikutana naye muda wote analalamika na anaandika status kuhusu kuteswa na mapenzi hadi anafikia hatua ya kutaka kujiua na muda mwingine anaenda kupigana na huyo mchepukp/hawara hadi kazini kwa huyo mwanamke eti anampenda na Mwanamke hampendi.
Hivi hii imekaaje? Nini hasa kinachosababisha haya?
View attachment 3461478
Inasikitisha.
Kati ya hao, mmoja ni TI.... na amefikia hatua ya kupigana na bosi wake kisa mwanamke.Kwa style hii tutaweza kweli?
kuondoa wahuni kwenye state
Mkuu haujui kinachosababisha, au unatania?Hivi hii imekaaje?
Kuna jamaa yangu mmoja ambaye nilileta habari zake humu namna alivyofirisika tokana na kuhangaika na wanawake. Sasa amewehuka na amekuwa kama kijana anayeanza kubalehe kwa kusumbuliwa na wanawake wengi zikiwemo nyumba ndogo?
Hivi inakuwaje mtu mzima unachanganyikiwa na mapenzi namna hiyo?
Kuna kijana mwingine mwenye miaka 30+ namfahamu mmoja tena mwenye maisha mazuri tu na mwenye mke na watoto anataka kujiua kisa mchepuko? Ukikutana naye muda wote analalamika na anaandika status kuhusu kuteswa na mapenzi hadi anafikia hatua ya kutaka kujiua na muda mwingine anaenda kupigana na huyo mchepukp/hawara hadi kazini kwa huyo mwanamke eti anampenda na Mwanamke hampendi.
Hivi hii imekaaje? Nini hasa kinachosababisha haya?
View attachment 3461478
Inasikitisha.
Kwani muuza madafu,umesha poteza madafu mangapi kwenye mtaji wako,kisa hutotujimambo?Hivi hii imekaaje?