Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Halafu ndio nshavaa,.Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?
Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.
Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
Mi napenda mwanaume akivaa zile pana pana sijui ndo zinaitwaje,zinakuaga za draft draft,sio hizo za kubana anakua kam kavaa tight[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nliwah kununua moja hz
Unakuta zmeandikwa cjui
Men n.k teyp hyo yan
Kesho yake baada ya kutoka job
Nliweka kwenye dustbin
Yan nna mpango wa kuanza kuzivaa hizo boksa za kiume[emoji23] [emoji23] naiman zile nikivaa kitu inakua inapigwa upepo kwa uzuri zaidMi napenda mwanaume akivaa zile pana pana sijui ndo zinaitwaje,zinakuaga za draft draft,sio hizo za kubana anakua kam kavaa tight
Ukion hivy ujue shabiki wa Yanga/CCMMwanaume unakuta kavaa smart balaa ila hilo lipensi alafu bora liwe jeupe unakuta lakijan au la njano pooooh
Yaan unachepuka af unasema mihangaiko, jamaa yako ana kaz kwelkwelShosti angekuwa shemejiyo nshamkimboza mbio huyo ni mtu tu wa duniani katika mihangaiko ya duniaa
Shemeji yako namnunuliaa,namfuliaa na nampangiaa ya kuvaa
Yanga haoooMwanaume unakuta kavaa smart balaa ila hilo lipensi alafu bora liwe jeupe unakuta lakijan au la njano pooooh
Aliyekwambia awamu hii kuna cha bei rahisi nani...?Mbona kuna boxer nzuri saana jaman large na Xxl alafu nyepesi tu pale postaa kuna duka la boxer kibao alafu bei rahisi tu
Na unaonekana umekubuh kwel kulala na hao mababaBaby relax it was jst a typing error .....khaa jaman kulala na mababa naweza ila sio baba angu
LllllllllllllllllllllllllllllkBwana angi hawezi kuvaa hizo nailoni mkuu boxer namnunuliaa mwenyewe ,namfuliaa mwenyewe na nampangiaa ya kuvaaa mwenyewe so hawezi kujijaladiaa mwishowe anuke berries bure
Kwanza umeonaje boxer sijui bukta za mwanaume ambaye si mumeo?Bwana angi hawezi kuvaa hizo nailoni mkuu boxer namnunuliaa mwenyewe ,namfuliaa mwenyewe na nampangiaa ya kuvaaa mwenyewe so hawezi kujijaladiaa mwishowe anuke berries bure
Usitukane sana wakati hujui baba yako ilikuwa VIPMaofini nawaonaa kibao mibuktaa inaninginiaa hafi kero bwana angu hawez kuvaa hayo makitu labda akiwa anaenda zake mazoezini
Pole kwa ku kereka afu,....Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?
Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.
Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
Kwa nn usiwaambie 1/1 hao mabwana zako kama hupendi? maana kila mmoja analolipenda mimi wife ni lazima aniandalie boxer na bukta kwa pamoja so ukigeneralize unakuwa unazinguaJamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?
Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.
Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
nachojuwa wachafu wanakutanaga na wachafu wenzao ..we jinsi ulivyomchafu ...ndo ulikutana namchafu mwenzio.Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?