Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby wangu hawezi jishindiliaa manguo mi ndo namvalisha bwanaaaKabla ya kulaumu unatakiwa umwambie
"baby naomba niambie background yako ya zamani hasa ulivokua shule ya msingi"
Mana unakuta mwenzio kashazoea kusunda toka shule mana walimu walikua wanatandika bakora hata hatari kwaiyo kuvaa
Yaonekana humjui baby wako vizuri bado.
Faida unaijuaa ww unayejidabodishaa haina faida yoyote zaidi kunukaa tu na uwezo wa kufuaa mara mojaa huna mpaka urudie siku tatuHuyu Mtoa Mada Ana Matatizo Kweli Hivi Unajua Faida Yakuvaa Bukta Ya Ndani Au Umekurupuka Hebu Muulize Bwana Wako Kwanza
That's INCEST ujue ama we unaona sawa tu tena unaropoka mbele ya Great Thinkers tena hapa hapa nyumbani kwao Jamii Forums...Baba wangu hawezi jishindiliaa manguo mi ndo namvalisha bwanaaa
Yes why not nisiseme bwana angu kazima nimpangiee nguo za kuvaa esp boxerThat's INCEST ujue ama we unaona sawa tu tena unaropoka mbele ya Great Thinkers tena hapa hapa nyumbani kwao Jamii Forums...
Ama kweli ujio wa Yesu umekaribia...
Unajuaa ninavyopendaga hako ka picha kako na maneno unayoyaongeaa hakikaa naanza jukuimagine ulivyo .....kuna boxer za kilaa dizaini na kilaa size kuvaa zinazobana ni mtu kutaka sasa ya nn ukavaa mapensi na wanaume uwezo wa kufuaa mapensi everyday hmna yaan zaid saana huwa mnafuaa baada ya siku 3 sasa hapo huoni ni uchafu my dear??plzz stop it ulipata fangus kwa sababu ulikuwa hubadilishi boxer labda....Boxer inabana, inasababisha joto hatimaye fungus.
Niliwahi kuvaa boxer nikakubwa na janga fungus, kuanzia siku hiyo hadi leo sijavaa boxer tena.
Kuna pensi nzuri na nyepesi za kuvaa ndani sio za kuchezea mpira tu.
Unaonekana umekubuhu mpaka unajichanganya mara BWANA ako mara BABA ako.Yes why not nisiseme bwana angu kazima nimpangiee nguo za kuvaa esp boxer
Huwezi nishawishi niache bukta ndani ya suruale ninapotoka zangu. Zipo bukta mdogo na nyepesi tu. Kwa mfano nikiwa field siafu walinipamba , kwa kuwa nilivaa bukta ndani , niliwatoa taratibu. Nakushauri dada katika kuishi na jamii vizuri si kila unachokiamini na kukipenda ,kinapendwa au kuwafurahisha wengine. Nyie ndo wale maofisini unalazimisha wote waamini unachoamini wewe , Jingine , acha umalaya dada .Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?
Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.
Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
Umalaya sifa ya mwanamke alafu sijakuforce nimetoaa maoni yangu be informed and thnks me laterHuwezi nishawishi niache bukta ndani ya suruale ninapotoka zangu. Zipo bukta mdogo na nyepesi tu. Kwa mfano nikiwa field siafu walinipamba , kwa kuwa nilivaa bukta ndani , niliwatoa taratibu. Nakushauri dada katika kuishi na jamii vizuri si kila unachokiamini na kukipenda ,kinapendwa au kuwafurahisha wengine. Nyie ndo wale maofisini unalazimisha wote waamini unachoamini wewe , Jingine , acha umalaya dada .
Basi pole ila kuna boxer over size ...nzuri na unapendezaaa piaaFungus inasumbua sana ikikupata, scrotum inakuwa laini sana ikigusana na paja then friction mtu ukiwa unatembea, maumivu yake ni balaa.
Ilifika kipindi nikawa natembea na poda mfukoni, nikipaka ili pakauke na nipungeze msuguano maana poda inateleza, nikitembea hatua chache poda inamezwa maana unyevunyevu wa sehemu ya scrotum iliyosagika haukatika unatoka mithili ya jasho vile.
Hapo kutembea ni kwa staili ya kupanua miguu yaani jambo ambalo mtu unakosa amani kabisa.
Yaani hiyo tabu ilinifanya nichukie boxer hadi leo. Nitaendela kuvaa pensi za kawaida ila boxer hapana
Biashara hii lipia tangazo.Nivae ti
Hivi mpkaa miaka hii kuna wanawake wanavaa taiti??labda nikiwa naenda gym au kukimbiaa weeknd lakini kitu chupi babuu wewe
Ofisi gani hiyo acha mbwembwe nguo za ofisini zinajulikana sema wakati unaliwa acha chengachengaMaofini nawaonaa kibao mibuktaa inaninginiaa hafi kero bwana angu hawez kuvaa hayo makitu labda akiwa anaenda zake mazoezini
Kama sokoni sawaHuna mahusinao mazuri na wadada ww ofisini.mhona mi wengi wanachomekeaa mbele yangu labda unapofanya ww