Aisee ndo maana Dunia ni nzuri hivi ilivyo kutokana na tofauti zetu ktk mambo mbalimbali. Binafsi sipendi kabisa kivaa boxer,kwanza inabana,inabana p.u.mb...u na dushe...!! Mzigo ukidindaa ndo utajuta kabisaa..
Sababu nyingine,joto la dar,yaani inabidi uwe unatembea na boxer za akiba,kwa joto la dar,ukivaa boxer asbh mpaka jioni,lazma inuke kwa jasho!!
Lkn pia pensi inafaida,unaweza kuvua na kutoka nje hata km upo lodge na mkawa mnapunga upepo. Lkn ukiwa na boxer,utalazimika kuvaa suruali hata km unaenda kuagiza maji tu...