Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Mtafikia hatua mtake tuwe tunaacha korodani nyumbani ... maana kila siku hiki mara hiki mara kile
 
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata


Viumbe wa kitanzania wote wana matatizo ya kutojitambua......mtu unaonaje ufahari kuvaa bukta as chupi au bukta pamoja na chupi then unapandishia na suruali juu yake? Lile joto la Dar na nguo zote hizo mwilini si ndiyo mtu unanuka zaidi, ukizingatia watu wengi wa Dar hawaogi, yaani ni bonge la kinyaaa. AU kukuta mwanamke anaringa kwa kuvaa minywele ya marehemu huku akijisifia eti ni ya milioni moja, kucha za paka, nyusi za kuokoteza Kariakoo, huku akishindwa hata kujisafisha ipasavyo kunako papuchini. Watanzania mbadilike jamani.
 
1512682_237441446430296_1115798514_a.jpeg
 
Kabla ya kulaumu unatakiwa umwambie
"baby naomba niambie background yako ya zamani hasa ulivokua shule ya msingi"
Mana unakuta mwenzio kashazoea kusunda toka shule mana walimu walikua wanatandika bakora hata hatari kwaiyo kuvaa "VIGOZI" lilikua ni jambo la kawaida sasa unakuta mwenzio akaendekeza uvaaji huko mpaka kwenye maisha baada ya shule.

Yaonekana humjui baby wako vizuri bado.
 
Sipost kwa sababu nataka umaarudu napost kilichopo kwenye my mind muda huo so sijaona wa kunistopishaa kupost,ntapost pale ntakapojisikiaa na nawezaa kukaa hata mwaka bilaa kupost so naombeni mnivumilieee tu as longer as sijajakumtafuta mtu niacheni tu ukiona sijapost juaa nimetightiwaa na mambo ya kikazi na shemeji yenu lol
Unaongea lafudhi ya wapi hiyo ya kuongeza aaaa zisizohitajika? Khaaa!
 
Kuvaa bukta ya ndani ni mhimu manake huwa zinatokea shida zisizo kusudiwa halafu ukabaki na boksa!! Waliopita jeshini wanajua, huwezi kutembea kizembe namna hiyo eti huna bukta ya NDANI,
Hilo naliweka wazi.
Boxer + bukta = comfortably
 
hahahah nimecheka kuona mada tuu sasa nimfungua uzi ndio nipo hoi umewaza nini mtoa mada
Yaaaan unakutaa mkaka wa maanaa kavaa kapendeza basi bwana usiombe ainambe au ashilikilie bomba la mwendo kasi khaaa unakuta kavaa mpensi wa kijani unaborekaje
 
Back
Top Bottom