Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Hii kitu nawaonaga wateja wangu wa mikoani hahah nadhani wanafichaga hela kwenye hayo mabukta hahaha! Na yanatuna kweli.. ila kwa mwanaume anayejua mikato sidhani kama wanavaa hivi maana na hili joto la mji huu MA Apple lazima yapate fungus hahah
 
Kwenye mihangaiko ya duniaa alafu nafanya kazi na wanaume ofisini mara kibao mashart yanachomoka unakuta mtu kavaa mpensi mara ya kijani,njano saa nyingine mpka la purple yaan nachukiaa balaaa
[emoji38] [emoji38] uuwiii la purple[emoji119]
 
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
Hata mm sipendi aisee
 
Hii kitu nawaonaga wateja wangu wa mikoani hahah nadhani wanafichaga hela kwenye hayo mabukta hahaha! Na yanatuna kweli.. ila kwa mwanaume anayejua mikato sidhani kama wanavaa hivi maana na hili joto la mji huu MA Apple lazima yapate fungus hahah
Yaaaan alafu utakutaa mafangasi balaaa
 
Hiv kwa mfano wakiwa mazoezini wakavaa hizo bukta za mazoez,ndani hua wanavaa chochote au wanaachia tu vitu vining'inie?
 
Nivae ti


Hivi mpkaa miaka hii kuna wanawake wanavaa taiti??labda nikiwa naenda gym au kukimbiaa weeknd lakini kitu chupi babuu wewe
Yani mwanamke akivaa taiti nakuwa na mzuka nae sana kuliko akivaa chupi walahi!!!
 
Ujui tu ila lazima bidhaa zipate hewa sio kubanwa banwa na boxer ndo mana zinapinda

Unakuta bidhaa haieleweki inaelekea wapi iyo yote coz ya boxer mamaaaa
Mkuu wote watu wazima..eti bidhaa[emoji23] [emoji23]
 
Cjui Kama kuna sku ntakuja
Kuvaa cjui boxes walaaaaah
Acha ikae kwanza znbana
Af jogoo akiwika n maumivu


Kichz cz jogoo anashindwa kujinyoosha stawah kuvaa huo
Utumbo

Kuna bukta flan amazing hv inkaa
Boxes lkn inaingiza hewa hyo ndo
Amazing kwang
 
Cjui Kama kuna sku ntakuja
Kuvaa cjui boxes walaaaaah
Acha ikae kwanza znbana
Af jogoo akiwika n maumivu


Kichz cz jogoo anashindwa kujinyoosha stawah kuvaa huo
Utumbo

Kuna bukta flan amazing hv inkaa
Boxes lkn inaingiza hewa hyo ndo
Amazing kwang
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nliwah kununua moja hz
Unakuta zmeandikwa cjui
Men n.k teyp hyo yan

Kesho yake baada ya kutoka job
Nliweka kwenye dustbin
 
Back
Top Bottom