Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

yaani huu uzi nimeupenda xana...nakereka kuona uchafu huo machoni mwangu....watu tu hawaelimiki had sasa

Yaaan alafu unakutaa limevaliwaa la kijani au la njano ptuuu
 
Aisee ndo maana Dunia ni nzuri hivi ilivyo kutokana na tofauti zetu ktk mambo mbalimbali. Binafsi sipendi kabisa kivaa boxer,kwanza inabana,inabana p.u.mb...u na dushe...!! Mzigo ukidindaa ndo utajuta kabisaa..

Sababu nyingine,joto la dar,yaani inabidi uwe unatembea na boxer za akiba,kwa joto la dar,ukivaa boxer asbh mpaka jioni,lazma inuke kwa jasho!!

Lkn pia pensi inafaida,unaweza kuvua na kutoka nje hata km upo lodge na mkawa mnapunga upepo. Lkn ukiwa na boxer,utalazimika kuvaa suruali hata km unaenda kuagiza maji tu...

Jaman hapana kuna boxer nzuri zipo kamabpensi nzuri saaanaa kuliko kuvaa hayo mamifuko yenu mtu unakuwa umetuna kama umevaa airbag jaman raha ya kengele ziwe kwenye hali ya usafi
 
B
Pengine mtu hana pesa ya kununun boxer hivyo usishangae kuona tunavaa sun lg au Fekon
Hata za 3000 jaman alafu zinakuwaga ndefu hebu imagine zikiwa ndani ya suruali zinavyokuwaa
 
Uwa unawavua? Au unawa scan?
Mima nafanya kazi asilimiaa kubwa na wanaune so muda mwingi nakuwa nao na wanaume unajuaa wanavyopenda kujiachiaanmkiwa ofisini mara kibao wanachomoleaaa wakati wa lunch na nayaonaa hayo mapensi nyanya yenu
 
Kwa hiyo unapokwenda mazoezini kazi yako ni kuchangamsha mwili au kuchunguza wanaume wenzako wamevaa nini?
Na aliyekuambia ya kuwa boxer ni nzuri katika michezo huyo anahila anasubili uchubuke akupake dawa
Sijazungumziaa mambo ya mazoezini nazungumziaa mambo ya maisha ya kilaa siku alafu mimi sio mwanaume
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hizi comments hatari. Nadhani ujumbe umewafikia wahusika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hizi comments hatari. Nadhani ujumbe umewafikia wahusika.
Na ndo maana wamepanick mtu unakuta upo naye chumbani mpensi unaninginiaa alafu umelegea kama utumbo khaaa,boxer ina raha yake jaman
 
ujinga ni pale unapodhani wew uko sahihi (katika upumbavu) kuliko wengine,upumbavu ni kufanya kuwa mawazo yako ni universal;
Na sijakuforce coz siwez kujaa kwako nikulazimishe bt ukionaa iko poaa take it kama haikushawishi leave it ilaa mimi kama msichana ninayejielewaa natambuaa kuwa hatupendi kuona mnavaa hayo mautumbo kwenye sehemu ambayo sio husikia kama ni kubanwa haimake hata sense
 
Na ndo maana wamepanick mtu unakuta upo naye chumbani mpensi unaninginiaa alafu umelegea kama utumbo khaaa,boxer ina raha yake jaman
makofi kwako tafadhali....acha povu liwatoke tutalowekea nguo kesho
 
Back
Top Bottom