Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaan nakereka kuliko maelezo,
Just imagine unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaan yupo smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje???
Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako??kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi,hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani,,
Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaan unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nalo neno
 
Mbona kuna boxer nzuri saana jaman large na Xxl alafu nyepesi tu pale postaa kuna duka la boxer kibao alafu bei rahisi tu
Posta ya hapa Kibondo,sijaziona,
ïla pia wanawake wanavaa vipensi vya jeans badaĺ ya pichu
 
Hata mimi huwa nawashangaa alafu linaonekana yan nikiona mwanaume kavaa hivyo hata hamu inaniisha na huwa nakata stimu balaaa. Na mtu wa hivyo haezi nigusa hata mkono wangu maana najua moja kwa moja kuwa huyu mtu ni mchafu. Wanaume mbadilike


mie ndo siyapend kbsss !wengne asbh anaamka nalo anashnda naloo weeee mdudu umejichora arghhhhh!
 
Back
Top Bottom