Hivi inawezakana Mchungaji au Askofu kujinyonga?

Swali gumu, majibu mepesi πŸ€”
 
Ungenisaidia kunambia Rozali imeandikwa wapi katika BIBLIA ningeshukuru sana.
Shanga zilitumika kama pambo tangu kale: barani Afrika zimepatikana za miaka 10,000 KK.

Lini na wapi zilianza kutumika kwa ajili ya sala haijulikani, lakini kuna sanamu ya karne ya 3 KK inayomuonyesha Mhindu akiwa na ushanga wa sala.

Lengo ni kutunza hesabu ya kauli ambazo zinakaririwa kwa kupitisha vidole viwili juu ya punje zilizounganishwa katika kamba au uzi.

Wakristo wa karne ya 15 waliotamani kusali kama watawa Zaburi 150, lakini hawakujua Kilatini au kusoma kabisa, walijifunza kwa urahisi kukariri Salamu Maria 150 huku wakitafakari mafumbo ya maisha ya Yesu, kama alivyowahi kufanya Dominiko wa Prussia (1382-1460), mmonaki Mkartusi.[2]

Lakini shirika lililojihusisha zaidi na Rozari ni lile la Wadominiko.[3][3][4][5][6]

Mwaka 1569, Papa Pius V aliyekuwa wa shirika hilo, alipitisha sala hiyo kwa Kanisa lote, akapanga mgawanyo wa mafumbo 15 na kukabidhi uenezi wake kwa Wadominiko wenzake.

Mafumbo hayo yaligawiwa katika makundi matatu: 5 ya furaha (utoto wa Yesu), 5 ya uchungu (mateso ya Yesu) na 5 ya utukufu (ufufuko wa Yesu na yatokanayo). Kila fumbo lina Salamu Maria 10, zikitanguliwa na Baba Yetu na kumalizika kwa Atukuzwe.

Mwaka 2002 Papa Yohane Paulo II alipendekeza kuongeza mafumbo 5 ya mwanga ili kuziba pengo kuhusu miaka ya utume wa Yesu.[7]

Mbali na hao, Mapapa wote walihimiza sala hiyo kama njia rahisi kwa wote ya kukumbuka na kuheshimu kazi ya wokovu iliyofanywa na Yesu Kristo.[8]

Sala hiyo imeenea katika baadhi ya madhehebu mengine ya Ukristo, hasa Anglikana.
 
Rozari (kutoka Kilatini rosarium, yaani "taji la mawaridi"),[1] ni ushanga uliotengenezwa kwanza na Wakatoliki wa Karne za Kati ili kusali kwa kukariri Salamu Maria kadhaa pamoja na kutafakari mafumbo ya imani.
Tunaenda vizuri,

Kumbe wakatoliki walijiamulia kuingiza mapokeo ya up again wao na kuingia nao Kanisani sio?

Ni sawa tu Leo, wachaga wanafanya matambiko na wanaenda Kanisani jumapili,

Hayo ni mapokeo yenu ya kipagani,

Hayana connection yoyote na maandiko au Neno la Mungu.
 
Nani kasema matambimo ni dhambi.
 
Umeongea vyema kabisa,

Rozali ni upagani. Ni makufuru kuingiza Ibada ya sanamu, masanamu na rozali Kanisani.
 
Kuanzia 2010 kurudi nyuma,

Umewahi sikia jambo la namna hii?

Na hili linaashiria nini?
Mkuu watu wanajinyonga Toka zaman tu sema kwass Dunia ipo kiganjani ndio maana taarifaa hz tunazipata Kila cku na Kwa wkt,mm kijijin kwetu 2004 nilishuhudia mtu juu ya mti kbs kajinyonga na kaacha barua mfukoni mwa suruali yake nduguze walisema barua inasema jamaa kajinyonga kisa msongo wa mawazo ..
 
Alikuwa mtumishi wa Mungu?
 
Umeongea vyema kabisa,

Rozali ni upagani. Ni makufuru kuingiza Ibada ya sanamu, masanamu na rozali Kanisani.
Basi hata bibli ni upagani mana inakusaidi kusali wakati ungewesa kuongea na mungu moja kwa mona bila kupitia kitabu. Ndo mana nasema nenda shule kwanza utofautishe mamboa. Biblia haisomwi na walei au laymen kama nyie utach ga yikiwa bure
 
Mtu akipoteza connection na asili yake kapoteza pia na nguvu zake za kiroho , hapo kinachofata ni utumwa
 
Kwamba matambiko Si dhambi?

Kwamba kuabudu miungu Si dhambi?

KAZI IPO Kwa KweliπŸ€”
Matambiko siyo kuabudu miungu. Nani kasema matambiko ni kuabudu miungu. Mi nafanya matambiko lakini siabudu miungu. Matambiko ni part of my culture kama weqe unavyoenda kanisani kusali. Kusali ni culture waliyokuletea wazungu kukuibia pesa kipitia sadaka
 

Rozali tena πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Halafu eti kajinyonga kwa kutumia charger ya simu😭😭😭😭

Nitakuwa wa mwisho kuamini amejinyonga kama ambavyo siamini kifo cha rais wa Irani kutokana na hali mbaya ya hewa.
 
Swali gumu, majibu mepesi πŸ€”
Yaani nimejibu kirahisi na wewe ulitaka nijibu iwe vigumu kuelewa? By the way, mdogo wangu niliyeishi naye miaka mingi, akipata jambo ananishirikisha, siku ya siku alipotaka kujiua hata hakutaka kunishirikisha. Hii ilitokea baada ya kujaribu kumwokoa mara mbili, ya tatu haikuwezekana. Hivyo, kutokana na yale aliyokuwa akinishirikisha, somehow nina clues based on this particular experience watu wa aina hii wana tendency gani, kitu gani ni contributory, etc. Nilifanya pia counselling ya miaka 2 (darasani) na miaka 2 gerezani (Pentonville Prison, in The UK) kwa suicidal cases. So, somehow I feel I know (not everything, but something in this area).
 
Wewe angalau unatumia vizuri akili Yako,

Ingawa umekosa evidence ya maandiko!!

Jambo lingine ambalo hujaliangazia, ni huna uhakika ikiwa Kweli amejinyonga au amenyongwa!!
Nina uhakika na end product amefariki zilizobakia ni nadharia za walimwengu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…