Hivi inawezakana Mchungaji au Askofu kujinyonga?

Mathayo 15;8
Hayo maandiko kila mtu aliandika kivyake baadae haohao wakatoliki mnaowaponda ndo wakaunganisha maandiko ya mitume wakatengeneza biblia,,,kwahio kulikua na maisha ya kiroho pia kabla ya kuja hio biblia,,,,,na ukiangalia waumini wakikatoliki wanaotokea sehemu tofauti na kwenye tamaduni tofauti hata namna yao ya kusali inatokana na tamaduni zao za asili pia, roman catholic warumi/waitaliano(latin ritual), syrian orthodox (syrian ritual), tawahedo ethiopia, coptic misri , orthodox ya wagiriki,warusi na nchi nyingine ndogo za hapo ulaya mashariki, ambao wanakosa rituals za kwao japo mambo yanabadilika kidogo ni maeneo ambapo ukatoliki uliingia kwa mgongo wa wakoloni ila sehem ambazo ukatoliki ulianzishwa na mitume wengi asili zao pia hawajaacha,ukienda kwa orthodox ya syria wanasujudu pia kama waislam sababu huo ndo utamaduni wao wa ibada tokea zamani maana nao ni waarabu...... ...huku watu walivyo makenge hata ibada ya kuombea marehemu na kusafisha makaburi wanakwambia upagani,,,walokole bange mnazovuta punguzeni
 
Ukristo na u catholic ni Mbingu na aridhi
 
Mkuu Rabbon vipi aliyetabiri kuhusu Kupotea kwa Dar..
Leo tarehe 21 ulisema nikukumbushe..
Vipi inawezekana nipo ndani ya Maji sijijui??
 
Zanzibar iliripotiwa mtu mmoja alivamia na kuharibu Mali za Kanisa Katoliki,

Tukisema watu aina hii ndio wanaodhuru viongozi wa kiroho tutakuwa tumekosea?
matendo mabaya ya mtu hayahusiani na imani ya dini yake ikiwa tu maandiko ya dini hiyo yatakuwa yapo wazi katika kuamrisha mema na kujiepusha na maovu.

Na tuseme kuwa wadini fulani ni wazinifu kutokana na kutenda kwao ilhali maandiko katika kitabu cha luka mtakatifu yanaamrisha kufunga ndoa au kujizuia na zinaa??? Is it right???
 
Ni binadamu wana mapungufu mixer afya ya akili kumkichwa
 
Unaweza kujinyonga ni kupitiwa na pepo la mauti . je, wanapofanya uzinzi hao viongozi wa dini ni pepo gani?

Hao ni binadamu kama wwe ishu ya kufa ipo pale ni sababu tu hiyo...yule Dogo Massawe kalamba zero kwenye mtihani wa upadre wakati wenzie wote wamefaulu ndio maana kajinyonga .

Yule wa Geita mfadhaili aliacha kutoa pesa za kuwapa kanisani akapata depression akajinyonga , huyo wa juzi nae huko Dodoma ni ishu za madeni kanisa lina biashaa ila wanakopa kwa riba ili wapate kikubwa , matokea wanakuwa na mzigo wa madeni kwa nn asijinyonge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…