The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
Ma expert, hivi hiyo inawezekana au mpka nichimbe kisima au bwawa ndio nifuge
Nina tank la 5000L nimewaza nifuge samaki humu
Nina tank la 5000L nimewaza nifuge samaki humu
Ma expert, hivi hiyo inawezekana au mpka nichimbe kisima au bwawa ndio nifuge
Nina tank la 5000L nimewaza nifuge samaki humu
Sasa hii maji unabadilishaje?Jibu la swali ni moja kwa moja, ndio inawezekana. Ila Bora uende ana option nyingine naona hii ipo complicated.
Utahitaji:
-Air pump & Water pump
-Tank utalitoboa kwa chini ikusaidie wakati wa kubadirisha maji
-Means nzuri ya kusafisha
Alternative ni kama una eneo la wazi, chimba shimo la urefu wa let's say mita 5 kwa 2, lenye kimo cha mita 1 hivi, kisha weka turubai kwa juu, jaza maji, ni rahisi, cheaper na more effective. Mchawi hapo eneo tu.
Si tulifanya home kulikua na green house moja ilikua unyama sana.
Nashukuru nimeitikia wito mkuu
Kwa experience yangu, tanks ni nzuri zaidi kama zikitumika kulelea vifaranga vya samaki (nursery tanks) au kuweka samaki kwa muda mfupi kwa ajili ya maonyesho. Lakini kama unaplans za kufuga samaki kama biashara au kwa matumizi ya nyumbani, basi fikiria kutengeza mabwawa
Mkuu ongezea nyama kidogo..Vip hilo shimo hausakafii?Jibu la swali ni moja kwa moja, ndio inawezekana. Ila Bora uende ana option nyingine naona hii ipo complicated.
Utahitaji:
-Air pump & Water pump
-Tank utalitoboa kwa chini ikusaidie wakati wa kubadirisha maji
-Means nzuri ya kusafisha
Alternative ni kama una eneo la wazi, chimba shimo la urefu wa let's say mita 5 kwa 2, lenye kimo cha mita 1 hivi, kisha weka turubai kwa juu, jaza maji, ni rahisi, cheaper na more effective. Mchawi hapo eneo tu.
Si tulifanya home kulikua na green house moja ilikua unyama sana.
Ndio mkuu bila shaka unaweza kutumia maji ya kisima mufuga samaki, sina uhakika na water quality parameters (temperature, pH, dissolved oxygen, turbidity, conductivity, Salinity level n.k) za kisima chako.BwanaSamaki012 nisaidie je naweza kufuga samaki kwenye kisima Cha futi 15 Kwa 12 ambacho natumia nyumbani kwangu?
Sehemu nzuri ya kufugia samaki ni ile yenye kina cha 1m hadi 1.5m, kina hiki ndio tunashauri zaidi kwa sababu kina ruhusu mwanga kufika chini (bottom) nakufanya eneo lote la bwawa kuwa productive.Naomba unielezee vizuri kwenye hizo dimensions (futi 15 kwa 12) niambie urefu, upana na kina chake kikoje?
Urefu kwenda chini ni 15 na upana ni 12 futi. . Nilijaza maji ya mvua yalipopungua nikaongeza MTUWASA , salinity yake ni ndogo na yananyweka na binadamu,haya niliyoongeza ndio yenye some salt ...
Pia niliweka sample ya kambale wapo mpk leo na wana miezi miwili.
Bila mtambo wa kuingiza hewa sahauMa expert, hivi hiyo inawezekana au mpka nichimbe kisima au bwawa ndio nifuge
Nina tank la 5000L nimewaza nifuge samaki humu
Kisima kitumie kama water source, chimba bwawa pembeni lenye kina cha 1.5m, urefu na upata itategemea na idadi ya samaki unaotaka kufuga.Ukipunguza kina itakuwa vizuri zaidi
Nawezaje kupunguza kina kwenye kisima kirefu namna hii... Lkn pia nimesakafia mpk chini?
Kwahyo ukiwa na bwawa kama hili hakuna haja ya kubadili majiKisima kitumie kama water source, chimba bwawa pembeni lenye kina cha 1.5m, urefu na upata itategemea na idadi ya samaki unaotaka kufuga.
Tumia pond liner kama hizi kupunguza gharama za ujenzi lakini kama uko vizuri financial basi jenga bwawa (Concrete pond). Utakuwa ukivuta maji toka kwenye kisima kwa kutumia pump na kujaza bwawa lako.View attachment 3380147