BwanaSamaki012
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 241
- 379
Kuna haja, ni muhimu kubadilisha maji angalau mara moja kwa mwezi ili usibadilishe maji inakupasa kuwa na best mechanism ya maintain water quality kwa kutumia vifaa maalumu vya kuongeza hewa kwenye maji (Aerators) na kifaa maalumu cha kuchuja maji (bio filter)Kwahyo ukiwa na bwawa kama hili hakuna haja ya kubadili maji
Kitu kinachofanya kuwe na urazima wa kubadilisha maji kila baada ya muda fulani uwa ni kudhibiti ammonia level, ambayo inatokana na kinyesi cha samaki na mabaki ya chakula (uneaten feed), ammonia ikizidi kwenye maji uwa ni sumu kwa samaki hivyo inatakiwa kudhibitiwa either kwa kubadilisha maji au kuchuja maji kwa kutumia bio media.