Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Watu na CV zao bhana, kuna watu wana sifa mpaka unaogopa yaani hzo zako cha mtoto. Tatizo moja tu wote wanapenda ngono, na ukikuta hawapendi ngono basi tube hazina upepo.
 

Kazana mwisho WA mwaka huu, uzee unakaribia
 
Watu na CV, kuna watu wana sifa mpaka unaogopa yaani hzo zako cha mtoto. Tatizo moja tu wote wanapenda ngono, na ukikuta hawapendi ngono basi tube hazina upepo.
Hahahaha..nimecheks kama mazuro..Muwache msichana aendelee kutafuta
 
Sija elewa hapo (asiwe mpenda ndogo), ebu fafanua mkuu....[emoji39] [emoji39]
 
Kumbe ni mwezi wa 12, tayari mmeshafunga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hakuna kipengere umesahau hapo? Kile cha kuingiza mkono mfukoni sijakiona hapo,au hupendelei...
 
je hayo unayoyataka we unayo? si utegemee kupata tu we kutoa huwezi... kuna mademu hata kucheka wanaleta pozi
Hahaaaahaaaaaaa
Kaaaz kwelikweli.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inawezekana 100% ila binadamu sisi sio wakamilifu Mungu atusaidie
 
Sasa ww hata chura huna halaf una masharti mengiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…