Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

Mwanamke hajui anataka mwanaume wa aina gani hadi ampate.
 
Hujaweka sifa zako bidada
 
Naona members humu wanaleta mzaha ngoja nichangamkie fursa, naomba unipe ushilikiano bibie naja [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mhhh na ww una sifa ulozitaja??
 
nipo hapa
..
 
Pesa hutaki hapo umetupiga kamba
 
Kwani Na huyo mwanume mwenye vigezo unavyovitaka akiorodhesha vigezo vyake unahisi utakidhi,
Cha msingi omba mungu Nasi tutakuombea pia
Upate mwanaume mwenye hofu ya mungu Na kusikiliza.
 
Utampata ikiwa nawewe ni wahivyo ila kama sio wa hivyo sahau kwan mungu ni mwema hukutanisha wanaoendana japo Mara chache yatokeaga kukutana watu wa sofa tofauti
 
Nakushauri uingie maabara ujitengenezee mwenyewe... Just joking.
Lakini unatakiwa kuachana na uhafidhina kama kweli unataka mme. Vinginevyo utaendelea tu kuwaona wanaume. Kumbuka kuwa nao wana Sifa zao, sasa kimbembe kinakuja pale mnopishana vipaumbele vyenu. Kwa vigezo ulivyoviweka, wanaume wengi watakukimbia.
 
Jina lako baya kama sura yako.

Ndogo unamaanisha tgo??
 
bishontongo ana miaka 39, labda tuanzie hapo.
Kwamba kama ni kweli ana umri huo kutokana na profile yake: basi ña yeye yumkini hana sifa hizo ndo maana hajaolewa.

Nawaza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…