Hivi inawezekana kupata mwanaume mwenye sifa hizi?

mbona wapo wengi tu tena kuna mmoja yupo pale mtongani aliweka tangazo kuwa anatafutA mwanamke kama vip mcheki.
 
Sina kosa, unafikiria watu wote wapi perfect??
Wewe umekamilika?
Siwezi kukutukana kaka sjazoea najua sheria za mtandao wewe madamu mdomo mali yako haka ila skumtukana mtu na hakuna anae jua maisha yangu pole na kwaheli.
 
Wewe ni mzuri

Una [emoji196] [emoji196]

Una ajira/biashara

Suala la tabia mtavumiliana, kama una hivyo vitu vi3 juu nitakuunganisha na jamaa yangu mwenye sifa uzitakazo
 
Ushanipata njoo kwangu
 
Usjali kaka Mungu ni mwema nashangaa watu wanao tukana kana kwamba wamelazimiswa dih ama kweli .
Huwezi kupata mawazo mazuri humu my dear wengi wanapenda kukejeli na kutukana, ondoa basi hiyo criteria ya black color pengine naweza kufit.
 
Ndio Unaweza kumpata naye ni YESU, alikuwa mrefu,alikuwa mrefu, alikuwa c mchoyo, alikuwa hapendi ndogo,hakuwa na maringo
 
mchonge tu au kama huwezi si utangaze tenda kwa wachonga vinyago
 
Aisee, sio rahisi mtu yeyote kupata mume/mke mwenye sifa zote azitakazo. Kama ungekuwa unaweza kuumba, basi umba wa kwako mwenye sifa uzitakazo!
 
Njoo kwangu sifa zote hizo ninazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…