Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

Huenda 90 wapo watano

hapo hapo yuko mtoto wa waziri, wa katibu mkuu wa mkuu wa Majeshi sasa inakuwaje

these are too challenging
 
Huenda 90 wapo watano

hapo hapo yuko mtoto wa waziri, wa katibu mkuu wa mkuu wa Majeshi sasa inakuwaje

these are too challenging
Nimesoma muongozo wao,inapotokea kufungana kama kuna mlemavu anachukuliwa kwanza.Kama hayupo wanakuja kwenye jinsia mwanamke kwanza.Kama wote ni jinsia moja wanaangalia umri(nani mkubwa kukiko mwingine,huyo ndio anachukuliwa).
 
Wameitwa bhana.Au unategemea utaona kichwa cha habari kimesema MDAs na LGAs? Naamini hatua ya kuwapanga watawapeleka moja kwa moja kwenye taasisi husika(yaani hizo MDAs na LGAs mbalimbali.Si ndio?au nachanganya mafaili?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…