Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

Nzelu za bwino

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
400
Reaction score
484
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na mapungufu yoyote?.naomba kuwasilisha . It
 
Haitokaa itokee, lazima atajikanyaga au atazingua mahali. Anaweza kuwa sahihi kwa muda mrefu but asiache kufanya makosa

Unless wahusika hamuoni kama ni makosa
 
Ndio maana nchi za wenzetu kiongozi akiona amezingua anajiuzulu kwa sababu wanajitathmini kwa kuzingatia binadamu hawezi kuwa sawa muda wote! Sasa bwana yule hataki kukaa pembeni kwa kuzingatia tathmini ya wanachama wengi kumchoka
 
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na mapungufu yoyote?.naomba kuwasilisha . It
Ndio umekuja kumtetea Mbowe?
 
Hakuna binadamu yeyote aliye mkamilifu.

Merry Christmas
P
 
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na mapungufu yoyote?.naomba kuwasilisha . It
binadamu gani kama hata malaika hawawezi .ni Mungu tu yupo sahihi
 
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na mapungufu yoyote?.naomba kuwasilisha . It
Naona Pascal Mayalla ame like faster.

Haiwezekani mtu kuwa sahihi muda wote, ila isiwe kigezo cha kulazimishia mapungufu au isiwe sababu ya kutofanya lolote kisa eti hata tufanye nini lazima tutakuwa na mapungufu.
Maisha is not about ukamilifu bali improving
 
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na mapungufu yoyote?.naomba kuwasilisha . It
Huyo siyo mwanadamu
 
Kama huna dini inawezekana.
Maana huwezi mchukia myahudi wala mpalestina wala Hamas wala IDF.
Huwezi kata vichwa wasioamini kama wewe nk.
Utakuwa huna çhuki na yeyote.
 
Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na mapungufu yoyote?.naomba kuwasilisha . It
Lissu ni mkamilifu 💯 %
 
Ndio maana demokrasia inawapa wananchi UWEZO wa KUMCHAGUA mtu awe kiongozi au mwakilishi wao na vile vile KUMUONDOA akikosea au kufanya kinyume na matarajio yao.
 
Aliyemtonya viongozi wa CDM kuchukua rushwa ya Mama Abdul ni Marehemu tena alikuwa mjumbe kamati kuu.
Unathibitishaje hiyo kauli ? Maana umeambiwa tu ,je zaidi ya hayo maneno Kuna ushahidi wa ziada usio tia shaka kuthibitisha hayo maneno?
 
Hakuna aliye mkamilifu, Ila inahitaji kuelewana kwa mapungufu yetu, na kuwekeana mipaka kwenye maisha yetu,

Kuwa na kiasi kwa chochote ufanyacho kwa mtu,

Jifunze kuwa na Siri kwenye maisha yako...... Itakufanya ukae vizuri na watu
 
Back
Top Bottom