Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

Kuna mwingine anatarget mbeleni. Kuna muda mtu wa masters atahitajika tu no matter what. Sasa we unafikiri kwa Nini waheshimiwa wanapambana wapate udokta na wakati pesa wanazo na nyazifa wanazo
Hao unaoona wanapambania udokta au kuongeza elimu wakati hela wanazo, sababu ni kutaka hela zaidi. Ukiwa kwenze ajira, kadiri unavyoongeza elimu, ndio hela inaongezeka. Sasa jobless anatumia gharama kuongeza elimu ambayo hajui kama itamtoa au la.
 
Hiyo ndo maana ya maisha hayatabiriki unaweza toboa au usitoboe.
 
Lengo la elimu linatakaiwa kuwa ni kuelimika, si kupata kazi wala hela.

Kama unataka hela anza biashara hata baada ya form four.

Tatizo huko kwetu bado tunalimbuka, tunafanya elimu kama ngazi ya kupitia ili kupata kazi, na kazi kama ngazi ya kupitia kupata pesa.
 
Kusoma masters vigezo vyake hutegemea na chuo. Lakini katika vigezo vyote vyuoni nilivyowahi kupitia hakuna hata kigezo kinachoonyesha kuwa tunapokea wenye kazi au waliofanyia kazi degree zao. Zaidi ni kuwa lazima uwe na degree na kwanza..G.P.A kwa baadhi ya course. Uwezo wa kulipa ada.
 
Kuna mwingine anatarget mbeleni. Kuna muda mtu wa masters atahitajika tu no matter what. Sasa we unafikiri kwa Nini waheshimiwa wanapambana wapate udokta na wakati pesa wanazo na nyazifa wanazo
Muelewe mtoa mada anaongelea mtu ambaye ni jobless sio hao wenye wazifa . Pata kazi Kwanza ndo uendelee na mambo mengine .
 
Ishu ya kazi sio mpaka uwe umesoma, ukiwa na masters na cpa halafu huja ajiriwa haimaanishi elimu Yako Haina maana.
Hakuna aliyesema kuajiriwa ishu hapa ni kuwa na kazi whether umejiajiri au umeajiriwa. Hujaajiriwa hujajiajiri halafu unasoma master's matumizi mabaya ya muda na pesa![emoji23]
 
Uzi mzuri, ngoja nivute kiti kabisa.
 
Muelewe mtoa mada anaongelea mtu ambaye ni jobless sio hao wenye wazifa . Pata kazi Kwanza ndo uendelee na mambo mengine .
Kila mtu anafanya anachotaka kikubwa asivunje Sheria za nchi. Pesa ni yangu muda wa kwangu shida Iko wapi?
 
Ila kweli masters degree na huna ajira yoyote ni waste of time. Experience kwanza ndio ina matter
 
Mtu hana kazi halafu anasoma MBA Corporate Management 😂. Sasa hiyo corporate atakayokuja ku.manage ni ipi?

Ama mtu yuko halmashauri halafu anasoma Corporate Management.

Corporates ni kama Vodacom, Airtel, NMB, CRDB, google, Facebook nk.
Amekwambia plan zake Ni kustaafia halmashauri?
 
We fala tu watu wanasoma kuelimika sio kuajiriwa
Duuh! mkuu,wewe ni mmoja wa watu wachache sana,mnaoweza kusoma hadi level ya Masters degree,ili kuelimika tu na siyo kuajiriwa.
Mimi nikuchane tu laivu,siwezi kusoma kwa level hiyo au zaidi ili nielimike tu,yaani eti nielimike nije niendeshe bodaboda,kwani siwezi kuendesha bodaboda nikiwa na elimu ya msingi?
Au wewe ni mwanasiasa mfu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…