Hivi ipo siku Tanzania tutatembea Usiku wa manane bila shida?

Hivi ipo siku Tanzania tutatembea Usiku wa manane bila shida?

Mnakuza Sana mambo kuna sehemu watu wanatembea masaa na muda wote
Wanataka ionekane hakuna Usalama wa Raia Tanzania.
Wakati ukweli hakuna nchi yeyote ile katika Afrika mashariki ambayo ina usalama wa Raia wakati wote, sehemu yeyote...Muda woote.

Zaidi ya Tanzania.

Aliyoyaleta...huo ndio uharakati uchwara.

My take: Jamiiforums inashindwa kutambua vinyuzi kama hivi ambavyo kwa mbali vinaonekana havina madhara. Lahasha

Madhara yake ni maoubwa kwa Usalama wa Taifa.
 
Dunia nzima usiku sio mzuri
Halafu maeneo mengi sana nchi hii watu wanatembea usiku ila ndio unachgua pa kupita
 
Wanataka ionekane hakuna Usalama wa Raia Tanzania.
Wakati ukweli hakuna nchi yeyote ile katika Afrika mashariki ambayo ina usalama wa Raia wakati wote, sehemu yeyote...Muda woote.

Zaidi ya Tanzania.

Aliyoyaleta...huo ndio uharakati uchwara.

My take: Jamiiforums inashindwa kutambua vinyuzi kama hivi ambavyo kwa mbali vinaonekana havina madhara. Lahasha

Madhara yake ni maoubwa kwa Usalama wa Taifa.
Huu ni ukweli nchi hii maeneo mengi watu wanatembea tena na kufanya biashara usiku
 
Mmmh vibaka kipindi hiki wamepungua sanaa, ukiona mtaani kwako unasumbuliwa tafuta hii,
Hawa wapora simu ukipiga short moja tu wanatawanyika
images (37).jpeg
 
Wizi umedhibitiwa na technology ukiiba simu labda tu mtu aache kukufatilia.
Watu hawatembei na cash.
Thus hata mabus utembea siku kupitia technology kazi ya ujambazi sio Dili ukiiba simu tu umedakwa.
Watu hawabebi cash
 
Back
Top Bottom