Wanataka ionekane hakuna Usalama wa Raia Tanzania.
Wakati ukweli hakuna nchi yeyote ile katika Afrika mashariki ambayo ina usalama wa Raia wakati wote, sehemu yeyote...Muda woote.
Zaidi ya Tanzania.
Aliyoyaleta...huo ndio uharakati uchwara.
My take: Jamiiforums inashindwa kutambua vinyuzi kama hivi ambavyo kwa mbali vinaonekana havina madhara. Lahasha
Madhara yake ni maoubwa kwa Usalama wa Taifa.