Hivi Jack Pemba ni tapeli?

Hivi Jack Pemba ni tapeli?

sijui ni mwanamke wa wapi lakini hilo jina kwa Mara ya kwanza nililisikia likitajwa kwenye wimbo wa FM academia unaitwa heshima kwa wanawake .
 
Wapi pedesheee ndama mutoto ya ng'ombe.....
Anauza viwanja vyake ndani....anatakatisha pesa.....wenzake kina Papaa Msofe wamekuwa wapolee...sijui wamepata maswahibu gani.

Matapeli kwa kweli waondolewe wote mitaani tukae salama....pamoja n.a. kuifadhili Yanga washughulikiwe to...hakuna namna
 
Papaaa musofe iko nakaa ndani ya segereya nanyeya ndoo
 
No wa kawaida tu umaarufu ameupata kwa kupenda sifa
Jamaa pesa anazo mkuu. Kibongo bongo hata kumchukua harmo rapa kutumbuiza kwenye birthday ya mtu ni shughuli, ila jamaa kamleta kofi na bendi yake yote kuja kutumbuiza kwenye siku yake ya kuzaliwa. Jamaa pesa anazo, na mbwembwe anazo pia
 
Unaonekana unapenda kufatilia habari za wanaume wenzio sio?
Juzi juzi katuma video akiwa na dola 200,000 mkononi. Mwenyewe anakwambia hiyo ni "breakfast money"

Jamaa pesa anazo mkuu. Kibongo bongo hata kumchukua harmo rapa kutumbuiza kwenye birthday ya mtu ni shughuli, ila jamaa kamleta kofi na bendi yake yote kuja kutumbuiza kwenye siku yake ya kuzaliwa. Jamaa pesa anazo, na mbwembwe anazo pia
 
Awamu hii sisikii zile nyimbo zenye vionjo vya majina ya watu. Utasikia, chief kiumbe, papaa musofe, ustadhi juma. nyockonyocko....Safi sana
Kuna mmoja alitajwa sana kwenye nyimbo hata na "Mzee wa Farasi" ila baadae alikuja kuuawa na polisi kama jambazi huko Morogoro
 
Back
Top Bottom