marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,656
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Awamu hii sisikii zile nyimbo zenye vionjo vya majina ya watu. Utasikia, chief kiumbe, papaa musofe, ustadhi juma. nyockonyocko....Safi sana
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Mkuu walikualika chumbani mpaka ukayajua yote haya?
Kwa nini umekasirika Binti..!!!?Mkuu walikualika chumbani mpaka ukayajua yote haya?
Ni mzazi mwenzaKwani Iyoba mkata viuno nae Ni mume ?
Anauza viwanja vyake ndani....anatakatisha pesa.....wenzake kina Papaa Msofe wamekuwa wapolee...sijui wamepata maswahibu gani.Wapi pedesheee ndama mutoto ya ng'ombe.....
Papaaa musofe iko nakaa ndani ya segereya nanyeya ndooAnauza viwanja vyake ndani....anatakatisha pesa.....wenzake kina Papaa Msofe wamekuwa wapolee...sijui wamepata maswahibu gani.
Matapeli kwa kweli waondolewe wote mitaani tukae salama....pamoja n.a. kuifadhili Yanga washughulikiwe to...hakuna namna
Jamaa pesa anazo mkuu. Kibongo bongo hata kumchukua harmo rapa kutumbuiza kwenye birthday ya mtu ni shughuli, ila jamaa kamleta kofi na bendi yake yote kuja kutumbuiza kwenye siku yake ya kuzaliwa. Jamaa pesa anazo, na mbwembwe anazo piaNo wa kawaida tu umaarufu ameupata kwa kupenda sifa
Hayuko mitaani?Papaaa musofe iko nakaa ndani ya segereya nanyeya ndoo
Nakati ya keko machungwa!!!Wapi pedesheee ndama mutoto ya ng'ombe.....
Juzi juzi katuma video akiwa na dola 200,000 mkononi. Mwenyewe anakwambia hiyo ni "breakfast money"
Jamaa pesa anazo mkuu. Kibongo bongo hata kumchukua harmo rapa kutumbuiza kwenye birthday ya mtu ni shughuli, ila jamaa kamleta kofi na bendi yake yote kuja kutumbuiza kwenye siku yake ya kuzaliwa. Jamaa pesa anazo, na mbwembwe anazo pia
Kama sikosei hayo maneno yalitoka kwenye kinywa cha NYOSHI EL SAADATJack Pemba...askofu wa KWANZA!!!!!!!
Kuna mmoja alitajwa sana kwenye nyimbo hata na "Mzee wa Farasi" ila baadae alikuja kuuawa na polisi kama jambazi huko MorogoroAwamu hii sisikii zile nyimbo zenye vionjo vya majina ya watu. Utasikia, chief kiumbe, papaa musofe, ustadhi juma. nyockonyocko....Safi sana
Vipi ushatibu tatizo lako la nguvu za kiume?Unaonekana unapenda kufatilia habari za wanaume wenzio sio?
Vp bado unawashagwa mkundu. Ama ushapata wa kukukuna?Vipi ushatibu tatizo lako la nguvu za kiume?
na wewe ukamuamini?Jack alikiwaga anajisifia ngwasuma Msasani km anakulaga 0713...