Hivi jamani kuna watu bado wanatumia decoders kuangalia vipindi?

Internet imerahisisha lakini changamoto yake ni gharama, labda mjiunge watu 10 wa karibu mjichange (majirani), mlipie wifi kila mwezi hiyo inaweza kupunguza gharama.​
 
Watanzania kiakil mtakuwa lini kama mleta mada

Wewe KUKAA hapo tabata na mtandao unapatikana kirahis bas unatutukanasisi watanzania wa LITUMBANDYOSI MBEKENYERA IGUGUNO USHIROMBO NA NDONGOSI kuwa sis n washamba kutumia DEKODA wakat hata mtandao huyo wa simu kushika n tatiZo

Mnapofanya majumuisho.ya kitaifa kuhusu maswala fulan hasa ya teknolojia Zingatie. Na jiografia ya nchi juu ya jambo Hil
 
Mkuu unaunganisha kwa shilling ngapi hiyo huduma ya TV mtandaoni?
 
Mm nimenunua wifi nalipa 70 kwa mwezi imenipunguzia gharama sana yaan ile 30 ya azam siilipi nimeunga wifi kwenye tv wanaselebuka tu home...tangu nijue kua kulipia vin,gamuzi ni ujinga tu na bado napangiwa nn cha kuangalia wakati huku mm naaangalia chochote nacho kihitaji
 
Umesahau kututaja sisi wa Nyankongocholo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…