mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,895
- 5,048
Mimi nitaendelea kuangalia tv mpaka kiama, dogo usitupangie.
Lakini unalipia double KULIKO WA visimbuzi fala wewe unalipia subscription na internet
Lakini unalipia double KULIKO WA visimbuzi fala wewe unalipia subscription na internet
Ujinga mtupu YAANI nianze kuhangaika na unofficial thing unaunwa.kwa kapuku kama wewe, kuna sites za Bure kabisa bila malipo yoyote, unalipia tu internet unlimited.
elf 50 na sio limited au elf 68 huez ona nbc league 😀ndio tupo vifurishi vya internet ni gharama
Internet ya shingap kwa mwezi?Netflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
ukitoa hizo za azam, hizo nyinginezo huwa wapo live YouTube.
Huyo dogo kaingia MWAKA WA WA kwanza pale coet kama kajanja na hivi kapata router ya tigo yas mixxOkay, kwa hiyo faida ya kulipia king'amuzi ni kupata channel zote unazotaka... Na hizo station nyingine ni muda wote wako live YouTube au wanakuwa live kwenye baadhi ya vipindi?
Kwamba niangalie TV E au ZBC YouTube live 24/7 nikiwa na bando la internet pekee?
So wanaopenda movie na tamthilia za kiswahili utapata huko netflix? Na pia hizo nazo si za kulipia?Netflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
Wapo wengi sana. Kwanza kumbuka hii Internet haijasambaa huko mikoani kama unavyoona kwenye majiji makubwa au mijini kama Dar, mwnza, Arusha na kwingine. So hii nchi ni kubwa sana na bado watu wengi wanatumia vingamuzi na wanavipenda kweli kweli. Na biashara ya PayTV inalipa sana kwa kweliMitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet.
Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
Jamaa linaona limeandika point!Watanzania kiakil mtakuwa lini kama mleta mada
Wewe KUKAA hapo tabata na mtandao unapatikana kirahis bas unatutukanasisi watanzania wa LITUMBANDYOSI MBEKENYERA IGUGUNO USHIROMBO NA NDONGOSI kuwa sis n washamba kutumia DEKODA wakat hata mtandao huyo wa simu kushika n tatiZo
Mnapofanya majumuisho.ya kitaifa kuhusu maswala fulan hasa ya teknolojia Zingatie. Na jiografia ya nchi juu ya jambo Hil
umeuliza swali la kipumbavu sana. jiandae kujibiwa kipumbavuMitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet.
Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
Subscription ya Netflix ni sh ngapi kwa mweziNetflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
Gharama za internet unalipaje na ni bei Ganisio kweli.
mnakuwa wawili, mama watoto au majirani mnalipia internet,wewe unalipia streaming sites,simpo tu.Ujinga mtupu YAANI nianze kuhangaika na unofficial thing unaunwa.
Huo wizi NDO unagundusha WATU hapa.
Chanel ZOTE official una subscribe mfano mzuri hiyo Netflix Mimi ni MMOJA WA subscriber unahitaji bando unalolipia na bado unatakiwa kulipia huko Sasa gharama yangu ya bando na subscription Kwa mwezi ni kubwa KULIKO ya kinfanuzi Cha startine, Azan etc wewe unaongea pumba maybe an armateur
Yaani nianze. Kuhangaika na moviebox pirated
Kodi tv addon kibao xbmc unalipia na zilizoibiwa ziko slow