Hivi jamani kuna watu bado wanatumia decoders kuangalia vipindi?

Mpira unaangalia Hesgoal kwa kutumia hiyo hiyo internet
Movies huna haja ya Netflix kuna yts.mx, eztv, 1337
IMG_8111.jpeg

IMG_8110.jpeg
 
Mitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet.

Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
Mimi silipii, nilichofanya ni kukigeuza chini juu king'amuzi kisha nikabandika selotepu kwenye kibati cha kadi ili kupunguza "detection", kisha nikatyuni upya stesheni japo zinapatikana bila namba, muhimu ni kuzipata, karibuni.
 
sio kweli.
 
Mitandao now imepiga hatua mbele kuhusu suala zima la internet.

Bado watu wanalipia vifurushi vya gharama kuangalia mipira n.k kwenye visimbuzi?
Unaachaje sasa kulipia ili uangalie mipira na familia nzima!
Inawezekanaje wote familia nzima mkainamia kisimu kimoja kuangalia game, kwanza hainogi kabisa
 
Netflix, Amazon prime video hizi ni kwa ajili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
Nazipataje hizo (nafanyajefanyaje)?!!! Nipo nanjilinji Huku mkuu hivyo nisamehe Bure!!
 
Unaachaje sasa kulipia ili uangalie mipira na familia nzima!
Inawezekanaje wote familia nzima mkainamia kisimu kimoja kuangalia game, kwanza hainogi kabisa
mkuu, unlimited internet mnaweza kushea, kila mtu akawa na simu yake.
 
500,000 ya tv pamoja mm naongezea lak 4 napata smart nzur sn yan kila kitu mtandaon ala decorder ya kaz gan
 
Back
Top Bottom