Hivi jamani kuna watu bado wanatumia decoders kuangalia vipindi?

Hivi jamani kuna watu bado wanatumia decoders kuangalia vipindi?

Mm nimenunua wifi nalipa 70 kwa mwezi imenipunguzia gharama sana yaan ile 30 ya azam siilipi nimeunga wifi kwenye tv wanaselebuka tu home...tangu nijue kua kulipia vin,gamuzi ni ujinga tu na bado napangiwa nn cha kuangalia wakati huku mm naaangalia chochote nacho kihitaji
Twende taratibu. Hulu dstv Disney Netflix n.k unalipia sh ngapi ili uangalue Kila kitu unachotaka?
 
"Mm nimenunua wifi nalipa 70 kwa mwezi imenipunguzia gharama sana yaan ile 30 ya azam siilipi nimeunga wifi kwenye tv wanaselebuka tu home...tangu nijue kua kulipia vin,gamuzi ni ujinga tu na bado napangiwa nn cha kuangalia wakati huku mm naaangalia chochote nacho kihitaji"
Kwa mfano Mpira unaangalia kupitia cannel Gani unapo unga na internet
 
Sasa ajabu nini kwa wanaotumia decodee mpaka leo? Nyinyi ndo aina ya wale mmepanda sana daladala zen mkanunua magari yenu mkaanza kuwadharau/kuwacheka wapanda daladala.
 
Netflix premium bei gani kwa mwezi, ni gharama kuliko kununua dst au azama na unaona kila kitu local kwa global news,movies pia
Netflix, Amazon prime video hizi ni kea akili ya makala na filamu. naangalia ninachotaka kwa wakati wowote, sio decoder, unaangalia wanachokuletea kwa muda huo plus matangazo kedekede.
 
Hayo maisha ni ya vijana WA chuo, wenye familia tunatimia visimbuzi
hayo ndo maisha ya watu wa nchi zilizoendelea na baadhi zinazoendelea kutoka kwenye uzamani na kuja kwenye ulimwengu mpya wa kiTeknolojia.

unakuta jirani analipia kifurushi Netflix mwengine analipia internet kwanza hii inapunguza mzigo wa gharama.

na hata kama hakuna majirani wanaokusapoti, vifurushi vya hizi streaming services ni bei chee tu.
 
Premium naona ndiyo nzuri ila unalipia kuona movies peke yake ila ukilipia decoder utaona wildlife,habari,mziki, movies,katoon,nk
mind you hapo ukiwa na unlimited internet, unakuwa na uwanda mpana kuliko kuangalia tv, maana humo pia kuna matangazo kila wakienda break mfano hizo show zenu za azamtv. ila internet huku utafanya vitu vingi zaidi
 
Taafifa ya hbari inapatikana wapi kwenye hiz ulizotaja?
ishu sio Netflix na hizo nyingine tu, pount yangu hivyo vifurushi mnavyolipa mnaweza kupata unlimited internet na kupata uwanda mpana wa kufanya mambo kwa uhuru. kuhusu habari,ITV, UTV, n.k hao wote wanakuwa live mjini YouTube. pia bila kusahau habari za kimataifa al Jazeera, cnn etc
 
Back
Top Bottom